Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Punguza dharau kwa wajomba na mashangazi wa wenzio. Hata kama wako bush wanabwia ugoro na kulima, huko ndiko ada za kwendea daslam zinatoka
Ndio waache ubishi Sasa wanapo hadithiwa ili na sisi tupunguze dharau ....maana haiingii akikini mtu unanjituma kuandika alafu jitu linakuja kusema chai ...kwa hiyo mtu unapoteza saa kuandika chai
 
We ms*ng¥ dah umenchekesha sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanatomba mifugo dah...hawa wana wanadahanj kila kitu ni story za kutunga akati wakulungwa matukio tumepitia live
[emoji38][emoji38] wanazingua Sana Hawa raia
 
Mwanamke akisimulia kimasihara hata hatumii maneno meeengi, ni kidogo tu lakini msisismko uko palepale. Wakija wavuta bangi sasa, maneno mia, moshi debe, stori kiduchu.
😁 chezea sana, kula sana mate! shika sana matiiti, nyonya sana (......) baadae nikapima oil, nikakuta fresh! Nikatoa pakti ya condom nikavaa faster! Nikapiga tackle zangu kadhaa... Mara wazungu haooo...! 😁

Dah!! Huu uzi wazee huwa tunapitia kimya kimya. Stori za Mabaharia ni full vituko.
 
[emoji16] chezea sana, kula sana mate! shika sana matiiti, nyonya sana (......) [emoji16][emoji16] baadae nikapima oil, nikakuta fresh! [emoji51][emoji51][emoji51] Nikatoa pakti ya condom nikavaa faster! Nikapiga tackle zangu kadhaa... Mara wazungu haooo...! [emoji16][emoji16]

Dah!! Huu uzi wazee huwa tunapitia kimya kimya. Stori za Mabaharia ni full vituko.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana
 
Ngoja nidrop masihara moja kimtindo, halaf masihara zipo sema unaona sio lazima kusimulia wakulungwa humu kila tukio sana sana watakuandalia kashfa na kejeli.

Sasa mimi huwa sipendelei masihara za kitambo mtu anasema hii ilikuwa miala ya 80, hahaa daah nabaki nacheka nasema huyu mtu si afanye saivi apate new tukios.

Hii ya jana trh 23 hapo mwezi huu.

Nimetoka home nimeenda sehemu kupata lunch, ile nimekaa lile eneo nikajishangaa nafeel kumiss sana kupata chakula cha edeni kile, hii inatokeaga muda fulani unahisi upate mtu umudinyee mwili upoe, lakini pia inatokea muda fulani hutak demu kabisaa.

Sasa ile mwili unataka niupoze nikaanza kuwaza nitapotezea kwa nani, aah nikasikia sina hamu na demu wangu, nataka kitu kipyaa ndio nitalidhika.

Swali likawa Je nitamtoa wapi??

Jibu likaja nitengeneze kimasihara tukio.

Nikakumbuka kuna saloon ya kike nilipita nilimuona mdada ana kashepu na urembo wa haja, si unajua hizi saloon bwana muda wote dada wako sopu sopu. Ila nilimuona ni dada anaejielewa hana shobo na watu kiviile sasa nitampataje kwa formula ya kimasihara? Na mm nilitaka the same day sio ahadi wala kutongoza.

Wakati nawaza formula ya kutumia nikainua uso kidogo naiona bucha upande wa pili wa barabara, kabucha fulani kana vioo safii, na picha picha ya aina za kitoweo kinachopatikana mle ikiwepo samaki, nyama ya moo, mee na kuku.

Nikanyanyuka nikavuka road nikazama mle buchani, nikamuuliza kuku mzima bei gani!? Nikajibiwa 15,000 Boss, basi nikamwambia nipe mmoja ila asiwe ameganda sana, nikafungiwa fresh nikakabidhiwa...

Nikalipa nikaondoka, nikaiweka kwenye seat ya nyuma moja kwa moja hadi pale saloon, bahati nafika namkuta yupo peke yake yule dada kanajifumu fumua vinywele.

Nikapark gar nyuma kidogo ya saloon yake huwa sipend demu anipende au anipe tunda sabab ya gari.

Nikamfuata mikono mitupu, nikamwambia mambo ? Kakajibu poaw, karibu.

Nikakaambia nimekuja kuosha uso yani scrub ya uso,
Akasema hatuna huduma kwa wanaume na scrub hatifanyi hii saloon ya kike.

Nikasema sawa cha msingi usiache hela, ngoja nije na sabuni, maji yangu lita tano, na asali unifanyie kama huna material, kakacheka pale kimtindo kanaona natania tu nikasepa kurud nyuma ilipo gari.

Nikamchukua yule kuku mzima kwenye mfuko, nikafika nikamwambia nimekuletea zawadi, kwanza akawa kametoa macho kakihisi naendeleza ule utani wangu tu, nikamwambia nipo serious pokea zawad yako naondoka, akapokea ila bila bashasha ni kama bado yupo kwenye bumbuwazi..

Nikamwambia usile chips na kipaja cha kuku, pls leo kula kuku mzima huyo, hapo ikabid afunue achungulie, kakaitikia wooow asante sana.

Nikasema usijali, akasema hajawah pata zawadi ya kuku mzima nimempa suprize.

Nikasema usijali enjoy that kwiooo kwiiooo.

Nikamwambia sina muda mrefu wa kuwa hapa kwako naomba niondoke, ila nina ombi moja kama hutojali unisaidie, kakatega masikil kusikia nasemaje.

Hawa kuku bwana walikuwa wawili, mmoja nimekuletea kama zawadi, maana niliwah kupita hapa nikakuona nikajisemea leo ngoja nikuletee kitoweo,

Sasa kuku mmoja nimemuacha kwenye friji yangu, na kibaya zaidi kuandaa kuku ananizingua sana, nakata mguu wa kushoto, sijui wa kulia then kipapatio ila nikifika kuukata kata mgongo na kifua kupata vipande vipande huwa nakesha na naishia kuharibu ukataji wa kuku.

Hivyo nikuombe kama unayo nafasi unisaidie kunikatia kati kisha urudi, akasema ooh pole, ila saivi itakuwa ngumu nipo peke yangu hapa.

Nikamwambia basi usijali, nikuombe uwah kufunga kabla ya giza upite unisaidie kisha iondoke kwako, akaniuliza unaishi wapi? Nikasema sio mbali mtaa wa tatu toka hapa, akasema ataangalia.

Nikasema sio vzr kusema ataangalia ina mana anataka nilale njaa, akasema hapana!
Basi pale pale nikasema nipe namba ukifunga iwe rahisi kunipa taarifa nikuoneshe uje akataja che che che nikaandika nikasevu nikasepa.

Saa moja na nusu hivi jion nikakatext, hujafunga kuku atachelewa kuiva jaman! Kakajibu hivi uko serious?? Hahaa wanawake bwana, nikasema why nihangaike hivi na swala nisilo na userious nalo.

Kakajibu ok nafunga nakuja, dk 5 naulizwa nipe uelekeo, nikakaelekeza nikatokea barabarani kukasubiri haka hapa, nikaongoza njia hadi home.
Hahaa ndani sina kuku kwenye friji wala samaki, nilijisemea tu kumbe mtego umetick.

Kamefika ndani na kuku wake yule, nikasema pumzika hapo kwanza,

Kakasema nawah lete kuku, kisu na sinia nikusaidie niondoke..

Nikaingia chumbani nikarudi nikafungua friji nikatoa maji nikampa kunywa maji, akapokea akanywa, huo muda natafuta namna bora ya kuichokoza Marekani kama China afanyavyo saivi.

Nikawasha na tv akawa anakunywa maji ana angalia.
Nikasema ulivyokaa kimia toka tumepeana namba nikajua hutakuja, kuku nimempelekea dada mmoja mgahawa wa hapo jirani anikatie katie, akiwah kumleta atakukuta humu, akasema sasa mbona umenisumbua bure jaman, nikamwambia sio usumbufu bwana umenitia baraka ndani kwangu,.

Akasema haya mm nawahi, ile amesimama kuondoka nikasema nikusalimie kwa hug uondoke, huwa wengi hawapingi hug tamu eeh?

Basi ile nimemhug nikashusha mikono harka haraka hadi makalion nikatokea tumbon, akashtuka kidogo kujinasua aondoke, nikasema naomba dk 1 nikuambie,

Nadhan hunifaham ila jua mm nakufaham napitaga pale nakuona sana, hivyo nikaona nikupe zawd na tupate kufahamiana, akaniuliza kweli? Nikamjib sisemagi uongo.

Nikaambiwa basi kesho nitakuja tuongelee hilo acha niwahi nyumbani, nikaona nisiwe kivumisi kilazimishi nikaachana nae, kesho yake nikakausha had jion ndio namtafuta vipi utakuja kama ulivyosema akasema ndio nakuja..

Alivyofika akaomba uani akojoe, nikamuonesha ili kamaliza nikafungua mlango wa uani nakupa ndo chupi ipo magotin, akasema jaman ile kiaibu nikamwambia sorry na mm nilibanwa na mkojo nikaona unachelewa kutoka, ile anaendelea kuipandisha nikawa nimemfikia basi akawa anashangaa pale nikaishikilia kama namvalisha , kumbukumbu zangu ile chupi ilivuliwa na nguo zingine zikatolewa zote na kupewa masihara yangu taaamu.
Kwa ule uzuri wake nimekaambia kasishangae nikaweka kambi.

N.B Wazee wa Afya cdm ilihusika, na naunga mkono hoja ya matumizi ya kinga 100%

CHAI​

 
Hizi unexpected sex zinatokea sana kigamboni hasa siku za weekend pale amabapo wadada wanakuja beach alaf wakat wa kuondoka hela hawana au wanaachwa na magari walio kuja nayo watu wanajiopolea sana huku kigamboni tunawaita mdondo au utumbo na vijana wanasema utumbo hautupwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa loose balls za Rongoni beach nakusalimia bwana [emoji3]

Utumbo hautupwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIMASIHARA
Siku ya jana walipita hawa watu wa kubandika namba kwenye kuta za nyumba zetu! Mwanadada aliyekuwa kashikilia kidaftari cha kutiki wabandikiwa huku mkono wake wa kulia akiwa kashikilia Samsung A20 alikuwa pamoja na wanaume wawili kwa ajili ya zoezi hilo!

Nyumba nzima walinikuta mimi tu, ndipo kuniomba maji ya kunywa, nikawapatia! Kisha yule mwanadada akaniuliza chai ipo tunywe? Nikamwambia kimebaki kikombe kimoja labda kama utakunywa wewe mwenyewe! Akanambia tufanye siku nyingine! Nikamwambia hata jioni unaweza rudi kama tu utamaliza majukumu yako! Akasema sawa! Nikamwambia aniachie namba yake ya simu na akaniahidi kwenye saa 12 angerejea! Nikamsubiri mpaka saa moja pasi na dalili yoyote! Ndipo kumpigia simu, akanambia "kumbe uko serious na hii issue?" Nikamwambia acha maneno mengi, mi nshakupikia na msosi njoo ule!
Akanambia "yalikuwa maeneo gani? Hata sikumbuki" nikampa direction, kweli mtoto akaja, lakini akaishia nje, akakataa kata kata kuingia ndani huku akisema labda siku nyingine! Nikamletea msosi pale nje akala! Baada ya hapo akaaga kuondoka, nikamuuliza "kwani bia hutumiagi? Akasema anatumia, nikamwambia ziko ndani kwenye friji, sema siwezi leta nje kwani majirani hawajui kama mimi huwa nakunywa pombe! Mtoto akajikuta anazama ghetoni baada ya kumlaghai kwa dakika kama tano hivi! Alivyofika ndani nikamwambia hakuna cha bia wala nini! Nilitaka tu upaone ndani kwangu! Binti akasema anachelewa, kuna mahali anaenda, nikamwambia usihofu, ntakupeleka na gari yangu! Kwenye meza huwa nina ufunguo uchwara wa gari, huwa nauweka pale kama pambo, huu ndo uliomdatisha! Akalegea! Ndipo kupapasa papasa huku nikizisumbua sumbua nywele zake, nikamshika shika mgongo, akajikuta analegea! Nikamtoa sketi na brauzi yake! Nikamchezea Qumer, nikamchakata! Ameondoka leo asubuhi!
Mammaee nimecheka sana huo funguo uchwara
 
“Kimasihara”;kipindi nipo O level nipo na kaka zangu wawili na mother+mzee>madogo wanne.Siku moja tupo na ma bro wote 2 bro mkubwa anaongea na she wake!katika story sla’s hapa na pale akapewa bro mdogo aongee na shem… wake then wakanipasia na mimi nimeongea na dem wa bro salio likawa linaelekea kukata!nikamwambia na chukua no.yako nakucheki kwa number yangu.kesho nikamtext hey mambo!salamu hapa na pale chatting zikawa ndeefu nikasema ngoja kimasihara! Nijalib Kuomba appointment ya kumuona maana sikuwahi kumuona ila yeye alisema ananifahamu kesho yake!jioni kama saa 1 moja alirudi mapema toka chuo tukameet eneo flan kidogo la shule kuna uwanja na kipori kidoogo story story!namshika mkono mtoto hajakataa[emoji23][emoji23] nikamshika shingo nikamvuta peleka mdomo huyooo! Kula lita kama 5 kupapasa chini kaloa sikuchelewa nikasogeza underwear chini gari likawaka![emoji4]baada ya show alipofika kwao akanitext hey nimefika! Na kuniuliza hivi umenifanyaje pale hata sijaelewa imekuwa vipi mpaka tumesex??nikamwambia nilikuona mapema kuwa hauna pingamizi kwangu so nikatumia nafasi vizuri![emoji23]
Baadae akaja kufunguka kuwa bro.. hajawahi Mh usa so mimi ndo wakwanza maana bro.. alikuwaga maneno mengi matendo hamna yule dem kanizidi 6 years! Bro alivo kuja kujua kuwa nimemlia mali yake daah! Akanichoma kwa mzee[emoji30] kuwa natembea na watu wazima nikapigwa sana istoshe yule dem mzee alikuwa anamfahamu wakamzushia kuwa ana HIV+ daah sikukuamini ni njia walitumia niachane nae ila bro.. aliniftia kosa alinipiga sana lakini pamoja na kumzushia mabaya yule dada kuwa kaathirika/mkubwa kwangu tulipotezana for 2years tukaja tena kuwa pamoja kimasihara tena ikatokea nikamjaza [emoji1765] saivi tuna mtoto mmoja na mzee na mabroo hawajui hadi leo ila wanajuaga tu nna mtoto na msichana flani ila huyo msichana ndo huyo waliomponda na kumkandia [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom