Ulishawahi kula tunda kimasihara?
1.5M ila laki 9.7 wapo daslam[emoji38]
FB_IMG_1652710351483.jpg


Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
WAKUBWA HABARI ZENU
WENGI WENU (80%) MNAFANYA KAZ NA MKO NA NAFASI KUBWA TU KWENYE TAASISI ZENU

NAOMBENI MSAADA WA KAZI AU CONNECTION
MDOGO WENU HALI ISHAKUWA TETE

Nilisomaga. BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION

Naombeni msaada wakuu, Pls pls [emoji120][emoji120]
Pole sana dogo mbona Serikali imetangaza ajira kibao za ualimu huku apply?
 
Mzee, sijui umemaanisha nini. Ila, huyu ndugu amesomea Bachelor of Arts and Education. Ninachohitaji kujua toka kwake ni kama anafahamu kutumia computer na ktk level ipi, communication and customer care experience, anafahamu lugha gani na gani pengine?
Kama nimecomplicate mambo basi mdau anisamehe.
Mi sijasomea Bachelor of Arts and Education but I have those skills
 
Back
Top Bottom