Dah nimecheka sana mmamaeeee njoo umalizie hiyo ya mke wa Mwana Apollo.
 

Hahaha, nimecheka sana. Kwamba jamaa walikusaka sana, ukaona ni bora utimue mbio.
 
Hivi inakuwaje mwanamke unajidhalilisha hivi khaa!!!

Yaani jitu linishike mkono naliangalia tu???? Loooh ningelipea bao hiol la mwana ukome,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha haya Mungu atusamehe kwa kweli. Balehe mbaya sana. Nimefanya sana hivi kushika mkono na kuvutia ndani wale "mamugro wa SUA" miaka ya 2000's. Wengi wanakubali kufanywa hivyo tokana na ugumu wa maisha n.k na hiyo ndio ilikuwa fimbo ya kuwachapia.

Kama unajiweza kiuchumi huwezi kubali kudharirishwa hivyo na hata huyo mtoa kisa unaona yeye ni boss na kamvuta mfagizi/ mfanya usafi wa ofisi. Hiyo ni kubaka na haiusiani kubwa huyo mmama alikuwa na genye au nini ila ni umaskini ndio umemtoa utu wake na jamaa kumdharirisha.
 
Hahaaaa, "Mamuguro" washikaji wa room moja walikuwa wanazungukana bila kujijua. Kama ana gono room nzima wanaugua.
Halafu ukute ni Mazimbu na muguro wanatoka dark city [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hapo tena heshima hamna,,mchana kamchekea kamkata jicho kali kwavile shida yake imeisha na hataki mazoea,,,,,aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, nimecheka sana. Kwamba jamaa walikusaka sana, ukaona ni bora utimue mbio.

Mwanapole alimfinya yule mke wake sio poa mpaka mke akasema ninapopatikana wakati huo huo akanisanua na mimi nikabidi niache kazi mara moja kwa taarifa ya mdomo na kurudi zangu Dar.

Kusakwa na wanapolo tena ambao hawana hela ni bora usakwe na JWTZ... Alooo sijarudi Arusha mpaka leo
 
Hahaaaa, "Mamuguro" washikaji wa room moja walikuwa wanazungukana bila kujijua. Kama ana gono room nzima wanaugua.
Halafu ukute ni Mazimbu na muguro wanatoka dark city [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaha nafurahi sana kuwasoma Sua almumin wenzangu

Sema wale wadada wa usafi na wale wanaopita wanauza vitu kipindi hicho ndio first year walisababisha room yangu karibia wote wawe wanakojoa usaha
Wote walitumia azuma

Kilichoniokoa mimi mi nilikuwa na mademu mtaani na nilikuwa natumia kinga na ukicheki nimetoka Manzese na ukicheki jamaa jirani wengi wao waliukwaa so nikikumbuka wadau wanakonda mbavu unazihesabu unakuta mtu anakunywa gongo dawa hataki kumeza basi najikuta naogopa . Wale washamba waliumia
 

Hahaha, pole sana Mkuu.
 
nimejaribu kupitia nyuzi za humu ila nikagundua kua nyuzi kwa kiingereza ni thread, ila sa itakuwaje

au tumuulize msukule mkuu atupe majibu ya kuridhisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…