verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,227
- 6,445
Mwendokasi inafika mwenge siku hizi? Sijaja mjini siku nyingi nifahamishwe tafadhaliKuna wale walinzi kweny mwendo kasi
Nimefika nimekaa sana kusubir mwendo kasi za mwenge maana zipo chache piga dana story mtto amevaa kiafande alafu mkali nikamsifia sana akaniambia kafunga nikamtoa buku mbili ya kufuturia nikamuomba namba akaogopa kushika simu yangu kaingia kweny vile vyumba vyao kaja kaichora kweny tiket chakavu mwendo kasi inakuja napanda tunaagana kwa tabasamu
Wiki hii nitaleta kisa kamili sasa nipo kwenye fainali[emoji28][emoji28] aseeh ukiwa mcheshi raha sana nikama kumsukuma mlevi
Mwenge - Bamaga- Sinza-Shekilango hadiMwendokasi inafika mwenge siku hizi? Sijaja mjini siku nyingi nifahamishwe tafadhali
Bado tu......jaman kesho nitawapa story. nakula kwa masihara muda mfupi ujao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aisee..mjini kumebadilika mno..nna miaka mitatu sijaingià hapoMwenge - Bamaga- Sinza-Shekilango hadi
Kimara/Kivukoni/Gerezani
Unajua kabisa utakula halafu unasema kimasihara???jaman kesho nitawapa story. nakula kwa masihara muda mfupi ujao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inafika Mwenge kupitia Sinza. Pia kuna mwendokasi za Mloganzila (Kibamba), Mailimoja (Kibaha) . Karibu tena jijiniMwendokasi inafika mwenge siku hizi? Sijaja mjini siku nyingi nifahamishwe tafadhali
mnataka saiziBado tu......
Mkumbushe kwa sasa kuna ujenzi wa Ruti ya mbagara, na kuna nyingine inapitia keko sijui hii itaishia wapiInafika Mwenge kupitia Sinza. Pia kuna mwendokasi za Mloganzila (Kibamba), Mailimoja (Kibaha) . Karibu tena jijini
Makuruta washahamaa nchiiii au??Mambulula waliokuwa wanachangamsha uzi wamehamia kwenye ule uzi wa RUSSIA vs UKRAINE
Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,Makuruta washahamaa nchiiii au??
Leo ni leo asemaye kesho ni mwongojaman kesho nitawapa story. nakula kwa masihara muda mfupi ujao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi RSM Matanda bado yupo pale?Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Wapiiii afande kayange mwenye mapengooooooo haaahaaaa.
Wapi RSM MATANDA Mzee wa ng'ombe wa mayai.
Wapiiii RSM kikotiiiiiii mzee wa makamanda makamandaaaaaa haaahaaaa
835KJ, mgamboooo
Ee wapo kule afu sisi wengne ambao hatujauelewa ule uzi tunaona chenga tu kuleMambulula waliokuwa wanachangamsha uzi wamehamia kwenye ule uzi wa RUSSIA vs UKRAINE
Ni ule uzi wa kushonea viatu mkuu.Wakuu ni uzi gani mpya ambao upo spidi Sana kwasasa ukiacha ule wa russia vs ukraine