Jamaa mshamba ana pigo za kizamani sana.😂😂😂
 
We jamaa unazingua sana, mie ningekua huyo dada hata sms zako nisingekujibu.
 
wewe kaka una nafasi yako mbinguni, u nailed it
 
[emoji23] Nishajua ni mkoa gani na hapo usiku mlienda sehemu gani.
Hongera sana kwa uvumilivu. Ila nakuhakikishia kausafiri ndiko kaliko kurahisishia kazi vinginevyo usingepata kitu.[emoji1]
Uchawi wa mzungu ni ulimbo mzee acha nikaze na mimi nitafute wangu daaah yaani uteleeza kilaini kabisa hutumii nguvu nyingi

Hawa wanawake sijui wamerogewa nini na magari .

Kuna mwamba mmoja alipigwa chini na demu wake sasa ikapita miezi kama miezi mchizi akavuta Caldina namba C demu akaurudi fasta sana na ndoa akawa anataka[emoji2][emoji1787][emoji1787]

Nyie hahahah
 
Leo asubuh nimeingia kulipa mapato TRA aliekuwepo anahusika na file langu ni bidada flan hv white flan hv mixer miringo sana na mashauzi huyu nimemtania nimekuja kumalizia kulipa makadirio ya mapato ya deni la mwaka jana.
Nkamwambia naomba usiku nkakukadirie huwa una orgasm mara ngap mi nahisi una squirt bao 4 akacheka alaf nikaeka simu mezan kwamba aandike namba keshanipa namba ntawapa mrejesho!
 
Wait sijaelewa hapa yani kaoa mwanae aliyesingiziwa au?
 
Wakati mwingine kuwa makini sana. Usipende sana kuwapa watu watumie simu yako kupiga mahali usipopajua, nakutahadharisha!

Alafu jifunze kutongoza vizuri, achana na ujinga wa nilikupa support naomba na wewe unipe support
[emoji23][emoji23]yani kumpa mtu simu apige ni support hahah.
 
Hadi leo nashangaa waliopata Nyege wakiwa jeshini walizitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie yale maovyoovyo sikudindisha miezi mitatu sijuii
Daah we acha tu

Zile six week nilisahau kama nina mashine huko chini


Baada ya kumaliza six week ,na kuanza kuwa k.o nikaanza kudindisha ovyo maana kazi sifanyi nakula ovyo tu [emoji23]
 
Ngoja kwanza, kama chai..au basi
 
OG za JKT.
 
Wacha tutafute v8 jamani yaani mwanamke mbususu inaloa yenyewe tuu akikalia ile leather ya v8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…