Green tea
 
Really!?
Yaani kisa umemsaidia tu ndio ukaomba na tunda hakikua kitendo Cha kingwana banah .
 
Umesema vyema sana, ila pia wanawake waliojifungua hawana mizuka sana na sex na kuna hormones huwa zinapungua, kwa wasiojifungua wanakua tu hawajakupenda inakuaje mwanamke hasitake game asikupe?

ila pia ukiteseka sana tafuta binti utakae muamini na kuheshimiana ambae utapata sex kwa utamu na kwa muda unaotaka kuliko ugomvi na mkeo kisa game, mnajikuta mnagombana kila siku na kisa sex ya nini, mpango wa kando ni muhumi sana, mwanamke hata umuhudumie kiasi gani kama hsmu zimemuisha anakua msumbufu tu sasa wanawake wapo unamchagua mmoja makini mwenye adabu zake na ni mrembo na muelewa
 
Duuuh serious[emoji28][emoji28]
 
Mbna kuna txt umeficha baada ya kumuomba akutunuku utam, ni eidha kakuomba hella au kakuomba hella ndo maana umeficha
 
Inawezekana ni wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…