Vitu kama hivi ndo vinanfanyaga niwe humble nsijione mjuaji hebu ona 1998 watu wanapiga matukio

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
1. Niliwahi kula demu pale Coco Beach . Nilikutana na demu mule Dar Free Market ndani. Basi kiatu chake kikawa kimekatika nikamnunulia simple akavaa kufika parking akaingia kwenye gari nikamuambia twenzetu tukale mihogo Coco akatikisa kichwa.

2. Tumefika Coco wauza mihogo wanajaa dirishani nikatoa order.

3. Ile mihogo imekuja natafuta bao la pili, Tena kavu. Kombe uwanjan.
 
Legend[emoji23]
 
Oya mazee.... hii imekaaje?
Nina dem wangu, nikiwa napiga show, ikatokea akapizi kabla yangu, yani anakuwa hataki tena.
Kama ni usiku basi hapo nijue ntapata gemu kesho asubuh tena.
Otherwise, nalala kifara tu maana hata nimbembeleze hataki.

Ila yeye akiwa na minyege ananilazimisha hata kama nimelala.

Vip na nyie inawakuta au huyu dem mzinguaji?
 
UNAZINGUA UJUE.
 
Ni kawaida sana kwao ishini nao kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…