Ulikuwa bonge la boya. Unamkwepa demu!!
 
Uliwezaje kumpa Mu-Ukraine na Kiingereza chako tia maji-tia maji? Au ulitumia Google translator?
Ndo profession yangu mkuu wala sihitaji msaada wa Google translator kwa baadhi ya lugha mkuu
 
Lete matukio huwa napenda staili yako ya uandishi
Unaandika kibabe sana
 
Oyaaa braza ERoni upo wapi??
 
domo zege tena wakati yeye ndo alikua ananitaka manzi sikumuelewa tu na manzi yangu alikua mkali kuliko huyo niliyemla kimasihara plus form four nilifaulu with flying colours [emoji28]
hongera kwa kufaulu, naamini na huo ujinga wako wa kukimbia pussy ushaacha
vipi huyo manzi wako mkali umeshamuoa

Acha tabia ya kuchagua papuchi, kwahiyo ww ukitaka kula Grade A tu hizi Grade za mwisho azitombe nani, nawewe ndiye unayeishi nazo ndo maana mnakutana

watu wanaishi Ufilipino huku na wanakula wafilipino daily lakini wakirud Buza huko akipewa na demu anatomba, sembuse wewe,wabongo bhana, asipande kwenye gari tu kabadilisha Class [emoji16]
 
Nimekusoma mkuu mambo ya kuchagua nilishaachaga saiv nachomeka utambi tu sibagui mimi [emoji23][emoji23]
 
Hiki kijiwe njoo na akili zako zote ukijichanganya utaaibika mtaani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwan ugumu na uongo uko wapi kwa nyuzi za jamaa, sema unaogopa mademu kwa hiyo unaona mambo hayawezekaniki. Chief ita mwanamke with confidence mwangalie usoni bila wasi wasi muombe namba, mwambie nataka kutoka na ww kwa vile nimevutiwa na ww, amini kati ya wanawake 12 wawili tu watadengua ila hukosi 8 kuwapelekea moto.

Hivyo sion kipya kwa nyuzi za jamaa, otherwise mnaopinga ni waoga
 
Kufukuzia thamani it cost energy mpaka uwe una uhakika wa mwisho wa mwezi Kama wewe hapo daktari hivi mkuu.
Ila mtu anatokea mpanda anawaza anawaza akafuate mzigo Kenya ,na huko apakie mchele tokea mpanda aupeleke sudani kusini na akirudi huku kenya apakie sabuni za jamaa arudi nazo awauzie wenzake. Sidhani Kama atakuwa na huo muda. Ila inaonekana we ewe daktari mdogomdogo ndio umehitimu bado unapooza machungu yako ya kutoswa enzi hizo ukila maharage boarding schools.
Sidhani umefikisha 10yrs kwa ajira and am sure hujavuka 35yrs kwa jinsi ulivyo.
Na familia ndio sijui Kama unayo. Mana una madini kalosi mpaka basi. Nakuomba uandike kitabu mkuu ama nije nikufanyie usahili ya kitabu mie naandika kitabu nitakupa%
Kiukweli unayo potential that you can convert in term of money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…