Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,061
Mbinguni napapenda sanaaa sema tu shetani ananizidi tu nguvu kwenye ishu hii ya kulana. NiombeeTulia binti ujumbe ni wa huyo hata sio wewe wengine mmeshakataliwa huyu tu nimemuona ana kibali mbele za Mungu aliye hai na Mungu atamrehemu akitubu na kuacha dhambi. Ni mimi nimeona sio wewe