Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,229
- 93,706
Najua anakutosha, wala siji kukuachanisha , uko free kabisa kuendelea naye ....ni uamuzi wako.Akuu!wa kwangu anantosha!!![emoji56][emoji56][emoji5][emoji5]
Nafsi itanisuta sanaa!I can't my friend!Najua anakutosha, wala siji kukuachanisha , uko free kabisa kuendelea naye ....ni uamuzi wako.
Kwan ukinipa Papuchi,utamwambia kua nmempa Carlos Papuchi?
Aaahhh Rey bana , I think of you more than a friend ... Nafasi ikusute kwan utaiambia?? Mambo mengine tunakunjuliana kiutu uzima tu wala hamna dhambi hapo.Nafsi itanisuta sanaa!I can't my friend!
Huyo ni mshabiki wa Simba,hata akiliwa tako haina noma.Sema next time usirudie mkuu utakuja kuliwa trakoo!! Yani unafungiwa room unakaa unatulia kabisa? Kuwa makini mkuu
Bro huyu RayMage mpaka huu mwaka hajaliwa kweli kimasikhara jamaniii[emoji1]Aaahhh Rey bana , I think of you more than a friend ... Nafasi ikusute kwan utaiambia?? Mambo mengine tunakunjuliana kiutu uzima tu wala hamna dhambi hapo.
Hahaha Haya yanaishia hapa hapa Mkuu, Huyo na Mke wangu wanajuana ..alafu mbaya zaidi mchepuko yangu nayo anaijua.Bro huyu RayMage mpaka huu mwaka hajaliwa kweli kimasikhara jamaniii[emoji1]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kikubwa acha tufurahie tu, iwe kweli au uongo.Sasa mbona mambo yako wazi hajaficha mi sidhani km anadanganya na kama anaongopa anamfurahisha nani?humu hakuna tuzooo!!ni story tuuu
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aahh!wapii!!siwezi aseehh!Aaahhh Rey bana , I think of you more than a friend ... Nafasi ikusute kwan utaiambia?? Mambo mengine tunakunjuliana kiutu uzima tu wala hamna dhambi hapo.
Hahaha MTU mwenyewe anajua sijatulia ..[emoji23][emoji23] reymage mtongozo wa kiutu uzima huu!!!
Duuhh unavyonikazia sasa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aahh!wapii!!siwezi aseehh!
Daaah umenichekesha...ana mjegejeSasa huyo askari copral ananini cha kumfanye aringe!,ni hiyo SMG aliyobe ba?
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Dah... Powaa japo ndo hivyo hatuna kimasikhara na wana Jf kwa Jf humu.Hahaha Haya yanaishia hapa hapa Mkuu, Huyo na Mke wangu wanajuana ..alafu mbaya zaidi mchepuko yangu nayo anaijua.
Basi tu najichetua hapa.
Ukitulia au ukiliwa?siku nikitulia nitaleta kimasihara yangu nyingine
Hapana alivaa boxer na shati la kijeshiMkuu kwaiyo huyu Dr alivaa gauni na sketi kwa pamoja? au Mimi ndio sijaelewa[emoji56][emoji56]
Hadi kufikia umri huu, nimeshindwa kutofautisha Gauni na Sketi, kama hautajali naomba unisaidie kuweza kutofautisha.Chai,mara alivaa gauni jepesi,mara akavua sketi,
Unadhani MD hana uhitaji chief?Utakuwa ulikula Clinical officer ila sio MD, kwa jinsi niwajuavyo hawa watu kukuxshobokea mpaka kutoa mzigo labda uwe na cheo kikubwa serikalini au ni mfanyabiashara una pesa za maana pia muonekano wako uwe wa kipedeshee, tofauti na hapo hii ni chai.