Night kaliii nimehamia mtaa mpya wanapaita ughaibuni, Jirani yake pamepewa jina La kisiwa maarufu cha muungano pamefunguliwa kiwanja kipya cha kujirusha, told myself gotta go there nijionee... Hali ya mvua na ubaridi mhuni nikatia maguu kupata supu , watu nyomi ndinga za maana za watoto wa mjini,,..... pisi za kuzidi, nikatafuta sehemu nikakaa . Mhudumu kajongea na kuuliza tukuhudumie nini kuna soup ya kuku , samaki na mbuzi.... nkamwambia ya mbuzi na ndizi au viazi kama vipo, paap hii hapa kijiko cha kwanza cha pili cha 6 , kaka samahani utatumia kinywaji gani madam pale kasema nikuulize nkamwambia situmii chochote ahsante niktoa ishara ya ahsante huku nikimtizama yule bibie aliyepanda hewani , mtoto wa kinyachu ....... baada ya kumaliza soup yangu nikaamua niingie ndani kuruka kwanja , kula monde arabe na kuangalia wanyama , that sunday pisi zilikuwa kama zote,
nkatafuta kona yangu nikachill , ila sikuwa na furaha mda ule kwa sababu i was new there na ilikuw lazima niscan mazingira nikaagiza laga mbili ili niactivate my lidar sensors... niscan mazingira kiwango cha 3g, paap sensor ikascan kwa entrance mara namwona bibie again tena akiwa kasmile , uzuri ukaongezeka maradufu mhuni nkasmile back mara paap mtoto huyu hapa kwa meza, akirembua rembua tuu..... akanisogelea na kuniuma sikio "we kaka sura yako ya upole hata hufananii haya mambo" nkacheka en nkamwagizia laga nane castle lites, ambazo tukaanza kunywa wote, round one two mtoto kadata ... kaanza kumwaga miuno kama yote .. muhuni naiona ikimwagika tuu nkasema usinichezee sura ya upole nkatupa kule na kuanza kuenda sambamba na miondoko ya kiuno chake, papasa sana , minya mbavu tekenya mtoto hoi anapumua juuu juu, akanambia please nsindikize chooni, kufika .. kanivuta kifuani mwake kula sana lita za niaje nyonya sana malips... badilishana sana ndimi mtoto , tukarudi tena kupata monde mpaka inafika saa kumi kasoro akasema twendzetu... kama likondoo nikakokotwa, truly aliniteka na macho yake plus chocolate colour shape mithili ya uwoya, nlichokumbuka kufanya ni kuuliza do you have condows and she said yes, nje pale chukua boda hao mhuni naenda kula nyama ,,, akapiga simu nifungulieni gate nipo njiani nakuja ... went in ... mlangoni tuu kiss mingi fore plays za kushanta ... kufika kwa bed nkaanza cheza na antena ,, cheza nayo sana ... toa mandingo chezea chezea ... tukasahau soksi nkapiga viwili vya nguvu... that night sikulala nawaza tuu .. itakuwaje after one month... ila liwalo na liwe bana .... morning mapema nkamwambia am going akachukua no yangu... ila sina amani kabisa wakulungwa