Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Leo ni siku ya tatu tangu nianze PEP mbona sikutani na shida yeyote kama wengi wanavyolalamika?? Au nimepewa panadol???
Umepewa ipi Kati ya hizo....???

Hiyo Aina tunaiita TLD ,,,Kulikua na TLE yenye Efivarenz unaweza kujinyea ndotoni
IMG_20210929_071934_404.jpg
 
Thubutuuuuh yako wangoni unawajua unawasikia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waulize wenzio, hakuna wa kutufikia ktk ulimwengu wa mapenzi,
Mtuache jaman, [emoji23][emoji23][emoji23] yaan wayao, wamwera, wamakua, na wamakonde watuzidi sisi? Kwa lipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangoni are just overrated hamna kitu,wanaume mnawashika na uchawi mnaochukua nyasa mnawawekea kwenye chakula hamna lolote.Yaani wangoni mjue mapenzi kuliko wamakonde na mabinti wa tanga?
 
Hapana yeye sexual desire yake ipo chini Sana anatosheka na kamoja maana nae huwa analala Sana.

Hivi kwanini ipo hivyo tulikua na conference na washkaji bar moja juzi same situation ndani kimoko ukiweza sana tena kwa lazima viwili afu hawataki kuendelea wakati nje mzee ni mkesha wa kutosha.
 
Back
Top Bottom