Ulikumbuka kuvaa kinga kweli???
 
Unajisifia kutafuna mke wa mtu???.Haya Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Sisi Wanaume ni Nyoko sana Yaani unagonga rafiki wa mke wako?!!!, Aiseee sisi ni vijogoo.
 
Mkeo akisoma hapa umekisha anaweza kuunganisha nucta

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Hujatumia akili

Huyo demu ingekuwa na subra ungeletewa hio k hadi ukimbie. Haraka zako na ushamba
 
Mkuu mlikuwa na mioyo ya chuma. Miezi sita yote mnasubiria mbususu???

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Miezi sita mbona michache mkuu. Kuna demu unafukuzia kuanzia anaingia form one unakuja fanikiwa akimaliza four
NB: Wanafunzi wa sekondari miaka ya zamani walikua wakubwa kwa umri na maumbo. Dont try this at home, its now punishable by law😀
 
Miezi sita mbona michache mkuu. Kuna demu unafukuzia kuanzia anaingia form one unakuja fanikiwa akimaliza four
NB: Wanafunzi wa sekondari miaka ya zamani walikua wakubwa kwa umri na maumbo. Dont try this at home, its now punishable by law[emoji3]
Duh hongereni wakuu. Siku hizi akikupiga dandana kama hizo unapiga chini unatafuta mwigine

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Duh hongereni wakuu. Siku hizi akikupiga dandana kama hizo unapiga chini unatafuta mwigine

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Kwakweli naona siku hizi hakuna muda huo. Vijana wanaraha sana. Wamerahisishiwa process kuanzia utongozaji hadi uchakataji mbususu. Tena wakati mwingine hakuna hata kutongoza. Ukipewa namba ya simu mnaanza kupanga mipango ya kudinyana!!!

Hata kwenye sanaa ya muziki wa vijana wanazungumzia mapenzi kua ni ya kitandani moja kwa moja. Sio enzi zetu unajieleza kwa demu unavyompenda halafu anakwambia mpe muda akufikirie kama maombi ya kazi.

Lakini tulikua tunaona fahari na raha sana kumfukuzia mwanamke kwa mitongozo ya maneno, barua na vizawadi vidogovidogo.
 
Huo mchepuko kwanza haujielewe ,pili haumpendi shoga ake!maana kwa namna ilivyo bidada anaona mwenziwe anafaidi mnoo mpk na yeye kakubali kulowa na shemeji yake, tena kwenye nyumba hyo hyo ,kitanda hiko hikoo!
Huyo mke namuonea huruma sana,rafiki mkia wa fisi!
Na huyu baba kaahh!ukahaba gani huoo!
 
Duh hongereni wakuu. Siku hizi akikupiga dandana kama hizo unapiga chini unatafuta mwigine

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa mkuu, kuna manzi fulani sister du, alikuwa ni staff mwenzagu mimi nilimkuta katika hiyo ofisi madaraka na umri nilikuwa nimemwacha mbali tu. Alikuwa ni pisi kali hasa. Alianza kwa kunizoea kwa kunijali akawa anakuja na vitafunwa tunashare, anandaa matunda kwa mchana ananipasia. Mwenyewe nikatathmini nikaona huyu yuko kwenye reli sasa. Nikaanza kumchombeza ili kujua kuwa anamilikiwa. Katika utafiti nilibaini kuwa huyo sister aliwahi kuwagonganisha staff hapo hapo ofisini na ikawa so maana mmojawapo walikuwa na mipango ya kuoana. Baada ya tukio la kugonganisha wote wakampiga chini. Huu ubuyu aliniuzia dereva wangu. Baada ya kupewa ubuyu huo mimi nikajifanya sijui chochote kuhusu yeye. Nilianza kutupia ndogo ndogo akaingia line. Shida ikawa tukipanga miadi hatokei na simu hapokei. Alikuwa anaweza kukuambia leo nakuja saa nane, saa nanr ikifika mtu hatokei piga simu hapokei kuna wakati anazima kabisa.
Siku moja ilikuwa si sikukuu ya Christmas tulipanga tukutane mchana ilipofika muda nikapiga calls nyingi sana hakupokea. Nikamwandikia ujumbe na kumwambia sitajidhalilisha tena kupiga simu kwako. Endelea na maisha yako nami nitaendelea na yangu.
Baada ya nusu saa ananipigia simu ananiambia samahani simu ilikuwa silence uko wapi nije? Nikamwambia usije nina mgeni. Baada ya saa moja akaniambia yupo nje ananisubiria. Nikamwambia siwezi toka nina mgeni tena asinipigie simu. Ukweli sikuwa na mtu ndani nilikuwa mwenyewe tu. Akaniandikia message kwamba anaomba anione nje mara moja. Nikamwambia subiri niweke mazingira ya kutoka ili mgeni wangu anielewe. Nikazuga kama dk 15 nikamkuta yuko nje kwenye gari lake likiwa silencer kawasha kiyoyozi nikamwambia sema haraka mgeni wangu asije akatoka na kutukuta. Akaniambia kwenye gari please nikaingia akataka kunikumbatia nikamzuia nikamwambia usifanye hivyo maana utaniachia marashi yako. Akageuka kwenye kiti cha nyuma na kuvuta mzigo uliokuwa umefungwa kwa gift paper akaniambia hii ni zawadi yako.
Nikamwambia siwezi ipokea sasa hivi nitatoa maelezo gani kwa mgeni wangu?
Akaniambia sawa naomba unipe nafasi moja kesho. Nikamwambia nitafute saa kuanzia saa nane mchane tena siyo kuja hapa tafuta mahali wewe mwenyewe mgeni wangu nitamjulisha kuwa nimehitajika ofisini.
Kweli kesho saa saba anapiga simu kuwa niende lodge fulani nikamwambia poa nipe saa moja. Nilipofika pale nilikuwa nimeshamiria nipige show kali kisha nimwage maana alinitesa. Kweli mtanange ulikuwa si mchezo maana hata yeye alianza kulalamika mbona namkomoa. Nilipiga show kali mpaka akataka kukimbia . Ukweli mashine yake haikuwa imetembea kilometa nyingi. Tulienda round tatu, mzunguko wa tatu hata sikufika mshindo ilibidi nisitishe maana alikuwa hoi sana. Hakuweza kuendesha gari ilibidi nimpele kwake kisha nikarudia gari yangu kwa boda boda.
Ajabu tena kesho yake akawa anataka. Kuanzia hapo yeye ndiyo akaanza kupata shida kunitafuta. Nikawa namtesa sana sipokei simu pia hata nikawa namblock.
Kwa hiyo ni kweli mwanamke ukiona anazingua anachana naye uking'ang'ana naye ataanza kujiona ni muhimu sana.
 
Umetisha sanaa mzeee! Hawa viumbe wanahitaji roho ngumu

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Umetisha sanaa mzeee! Hawa viumbe wanahitaji roho ngumu

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Manzi alikuwa anazingua sana. Hakuna kitu kibaya kama kuweka appointment na mtu halafu ukawa hupokei simu. Sasa yeye alinifanyia sio mara moja tu alifanya kama mara tatu. Halafu mkikutana hana hata maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…