Heri ya Xmass Ndugu zangu wa Kimasihara.
Ngoja na Mim nitupie uzi wangu wa kimasihara hapa maana siku nakula huyo Mtt nilitoa ahadi lazima nije kushare na wana.
Jumatatu iliyopita, nilidamka mapema sana Kwa lengo la kumpelekaa wife stand ya bus pamoja ya vijana wangu wakale xmass kwa bib yao kidogo huko kwenye Jiji la miamba.
Basi nkawasha kimkweche changu maana nakaa mbali kidogo na mji ili niwah mabasi ya saa kumi na mbili ya Asubuhi ya kwenda jijin mwanza. Wakati natoka uswazi kwangu kwenda Main Road na kimvua kinanyeshaa hv. Tukakutana na bestie wa Mke wangu na yeye alikuwa anampelekaa mama yake stand lakin wao walikuwa wanaelekeaa Main kuchek Bodaboda.
Basi wife alipowaona tukasimama tukawapa lift kwenda nao stend, basi bana bahati nzur Mke wangu alikuwa wa kwanza Kufika kwenye parking ya gari linaloenda mwanza nkashuka nkamsaidiaa kuweka mambo sawa nkamuhug na makiss meng wife kisha akaniomba nmpeleke best wake stand kuu sasa nmuache hapo kisha nirud zangu geto.
Basi baada ya kuagana na wife, ikabidi nimsogeze shemela pamoja na mama yake stand kuu ambayo sio mbali sana, shida ikaanza shemela akasema anaomba nimsaidie kutafuta bus na kuhakikisha anampandisha mama yake kisha turud wote.
Ndugu zangu yule shemela kumbe sikuwah kumuona kwa macho ya kimalaya, anakasura ka kibabe face na huwa akija home mara nyingi ana makanga na matenge ila sasa asubuh hyo alikula zile pajama flan hv nyepesi na alikuwa ameloa loa Kwa hyo chupi ilikuwa imejichoraaa flan hv kwenye Bantu shape.
Nkajisemea moyoni kwamba leo hata km nmetoka kupata morning glory kutoka kwa wife lazma niombe kimasihara tu, afe kipa afe beki.
Basi nkamsaidiaa pale mama yake kutafuta bus lake la kwenda Tanga, tukamaliza. Mama akatuachiaaa baraka nying sana tukaanza kurud nlipopark mkweche wangu kurud home.
Wakat tunarud mwanaume ikabid nijifanye nakaa nyuma ili nione tako, shemela akauliza Mbona unakaa nyuma sana unajuaa Mim naogopaaa kutembea pekee angu, mwanaume nkamjibu kimzaaa tu na hii barid nalivutiaa picha msambwanda wako. Basi shemela akachekaa Kwel kwel.
Basi tumefika kwenye gari nkafungua akataka kukaa nyuma nkamwambia kaa mbele leo nataka kukuona vzur kabsa maana nlikuwa sikuoni vzur kipind cha nyuma.
Shemela akacheka tu tukasepa zetu maana wote tunakaaa mtaa mmoja, wakat tunakaribia kitaaa Mim nkamchana kabsa kwamba leo unaenda kuchukua nafasi ya rafk yako maana kaniachia nyumba pekee.
Shemela akawa nacheka Cheka tu, tumekaribia kituo ambacho anashuka mwanaume nkaongeza speed, akasema Mbona umepapita kwangu nkamchana naenda kukumalizia usingiz nikaona kimya, mwanaume nkasema leo kimasihara imetimia
Ndugu zangu siku ya Jumatatu nilienda kazin saa 4 asubuh baada ya Saa moja na nusu kutokana na utundu wa yule Mtt, Mtt anajuaaa kuila koni bana, shemela mtundu bana kuliko kawaida sasa hv mpk mwaka mpya ndo nampga Full stop

.
Ni hayo tu.