X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,766
1a
We huon ana akili ya kitoto,,wewe unaenda kuvuta sigara chumban unadhani ni akili hyo.Hujatumia akili
Huyo demu ingekuwa na subra ungeletewa hio k hadi ukimbie. Haraka zako na ushamba
Sahihi kabisa mkuu, kuna manzi fulani sister du, alikuwa ni staff mwenzagu mimi nilimkuta katika hiyo ofisi madaraka na umri nilikuwa nimemwacha mbali tu. Alikuwa ni pisi kali hasa. Alianza kwa kunizoea kwa kunijali akawa anakuja na vitafunwa tunashare, anandaa matunda kwa mchana ananipasia. Mwenyewe nikatathmini nikaona huyu yuko kwenye reli sasa. Nikaanza kumchombeza ili kujua kuwa anamilikiwa. Katika utafiti nilibaini kuwa huyo sister aliwahi kuwagonganisha staff hapo hapo ofisini na ikawa so maana mmojawapo walikuwa na mipango ya kuoana. Baada ya tukio la kugonganisha wote wakampiga chini. Huu ubuyu aliniuzia dereva wangu. Baada ya kupewa ubuyu huo mimi nikajifanya sijui chochote kuhusu yeye. Nilianza kutupia ndogo ndogo akaingia line. Shida ikawa tukipanga miadi hatokei na simu hapokei. Alikuwa anaweza kukuambia leo nakuja saa nane, saa nanr ikifika mtu hatokei piga simu hapokei kuna wakati anazima kabisa.
Siku moja ilikuwa si sikukuu ya Christmas tulipanga tukutane mchana ilipofika muda nikapiga calls nyingi sana hakupokea. Nikamwandikia ujumbe na kumwambia sitajidhalilisha tena kupiga simu kwako. Endelea na maisha yako nami nitaendelea na yangu.
Baada ya nusu saa ananipigia simu ananiambia samahani simu ilikuwa silence uko wapi nije? Nikamwambia usije nina mgeni. Baada ya saa moja akaniambia yupo nje ananisubiria. Nikamwambia siwezi toka nina mgeni tena asinipigie simu. Ukweli sikuwa na mtu ndani nilikuwa mwenyewe tu. Akaniandikia message kwamba anaomba anione nje mara moja. Nikamwambia subiri niweke mazingira ya kutoka ili mgeni wangu anielewe. Nikazuga kama dk 15 nikamkuta yuko nje kwenye gari lake likiwa silencer kawasha kiyoyozi nikamwambia sema haraka mgeni wangu asije akatoka na kutukuta. Akaniambia kwenye gari please nikaingia akataka kunikumbatia nikamzuia nikamwambia usifanye hivyo maana utaniachia marashi yako. Akageuka kwenye kiti cha nyuma na kuvuta mzigo uliokuwa umefungwa kwa gift paper akaniambia hii ni zawadi yako.
Nikamwambia siwezi ipokea sasa hivi nitatoa maelezo gani kwa mgeni wangu?
Akaniambia sawa naomba unipe nafasi moja kesho. Nikamwambia nitafute saa kuanzia saa nane mchane tena siyo kuja hapa tafuta mahali wewe mwenyewe mgeni wangu nitamjulisha kuwa nimehitajika ofisini.
Kweli kesho saa saba anapiga simu kuwa niende lodge fulani nikamwambia poa nipe saa moja. Nilipofika pale nilikuwa nimeshamiria nipige show kali kisha nimwage maana alinitesa. Kweli mtanange ulikuwa si mchezo maana hata yeye alianza kulalamika mbona namkomoa. Nilipiga show kali mpaka akataka kukimbia . Ukweli mashine yake haikuwa imetembea kilometa nyingi. Tulienda round tatu, mzunguko wa tatu hata sikufika mshindo ilibidi nisitishe maana alikuwa hoi sana. Hakuweza kuendesha gari ilibidi nimpele kwake kisha nikarudia gari yangu kwa boda boda.
Ajabu tena kesho yake akawa anataka. Kuanzia hapo yeye ndiyo akaanza kupata shida kunitafuta. Nikawa namtesa sana sipokei simu pia hata nikawa namblock.
Kwa hiyo ni kweli mwanamke ukiona anazingua anachana naye uking'ang'ana naye ataanza kujiona ni muhimu sana.
Mkuu hii yako sio chai kabisaHeri ya Krismas Wanamasihara wote
Niwashirikishe na kuwapa kisa cha kula kimasihara japo ni miaka mingi sasa imepita maana nashukuru hadi sasa kaumri ka ujana kananiaga kwa ukatili mkubwa
1996 hiyo kabda ya kuvumbuliwa simu za mkononi(au labda huku Afrika zilikua hazijatufikia). Wakati huo nasubiria kuingia Chuo maana JKT ilikua imefutwa
Nilikua nakaa Kinondoni maarufu kwa Msisiri. Baadhi ya vijana wa kiume pale mtaani tulikua na kijiwe chetu maarufu na maalum cha kutongozea. Tulikua na takwimu za mabinti wote wa mtaa ule na mitaa ya jirani. Tukijua nani mgeni nani anatoka na nani nani mgawaji maarufu nk. Tulishindana kuwatongoza na kuwala
Kulikua na salon ya dada mmoja akiitwa Sheila(nimelibadili kidogo jina lake). Kipindi hicho salon za wanawake ndio ilikua biashara "catalogue" kwa masistaduu.
Kwenye ile salon niliwatafuna wasichana wawili wafanyakazi wa Sheila na walijuana na wakawa na ugomvi baina yao. Nilikua ni predator haswaa nisiyepitwa na skirt na nisiyeshindwa. Kitendo kile cha kuwachanganya wafanyakazi wake nikasikia kilimfanya Sheila anichukie na kunilaani sana
Siku ya siku Sheila( amefanana sana sana na Shamsa Ford wa wakati huu ila yeye alikua mweupe zaidi) akakatiza pale kijiweni ambapo mbele kidogo kuna kichochoro kutokea mtaa mwingine.
Nilikua nimesikia kutoka kwa wale wasichana niliokua natoka nao habari za Sheila kunilaani na kunisema kwa maneno mabaya kwa watu hivyo siku hiyo nilipomuona anakatiza kijiwe mtongozo nikakusanya guts zangu zote nikawaaga wenzangu na kumfuata mulekeo wa huo uchochoro. Nia na madhumuni niongee nae aache kunisema vibaya kua eti nimekubuhu umalaya na kunilaani kua nitakufa kwa ngoma!!!
Sikua na nia zaidi ya hiyo wala sikuwahi kufikiria mapenzi kwake kwa sababu kwanza alikua mkubwa kiasi kwangu na pia alikua na pesa zake maana tuliamini biashara ile ya salon alikua labda kafunguliwa na mtu mwenye uwezo sana wa kifedha kuliko sisi makapuku/wanafunzi wakati huo. Kwahiyo wazo lolote la kumtongoza ilikua ni wendawazimu na kujichoresha
Nilivuta hatua za taratibu kumfuata na bahati nzuri kale ka njia kulekea ule uchochoro hakakua na watu wakati ule. Nahisi kama aliniona wakati nachomoka kwenye baraza la wenzangu kumfuata. Alipofika usawa wa uchochoro mimi nikaongeza mwenzo na yeye akawa kapunguza mwendo kiasi. Nikamuita , kwanza akanipuuza kisha nilipomkaribia akasimama ghafla, akageuka kunikabili sura kaikunja!!
Nilipomsalimia tu bana wala hakunipa nafasi. Akaanza
"Hivi nyie vijana wa hicho kijiwe mna matatizo gani? Kila mwanamke mnaemuona mnataka kumvua chupi. Mnajiona nyie very special species eeeh? Who do you think you are? Hasa wewe! Wewe si ndio Mbetewa wewe? Kila mwanamke unamtaka. Pale salon si umemaliza wafanyakazi wote! Sasa unataka ukamlale na Boss wao!!! Wewe si kama mdogo wangu tu wewe? Huoni haya kunisimamisha kunitongoza"
Aiseee, yule dada hakunipa nafasi. Kila nikijaribu kumwambia "sio hivyo dada Sheila", waapi bana, hanisikilizi anazidi kutoa maneno. Mwisho baada ya kuona simjibu akaniambia haya nambie unataka nini? Sikua na la kusema kwakweli, lakini being a predator as I was nikasema huyu sikumsimamisha nimtongoze ila kajishuku tu ngoja nimfanyie utundu wa makusudi
Nikaanza kumuomba msamaha lakini huku nikimuangalia kwa seducing eyes. Akili yangu ya uwindaji haramu wa totoz ukasema kafanya kosa la kiufundi kudhani nilitaka kumtongoza. Kwanamna moja kauli yake ikaniondolea hofu
Sasa kwa vile amevuka mipaka ngoja namimi nisikae nyuma nifanye counter attack japo ya macho. Sina cha kupoteza, kama kuchambwa nishachambwa
Alikua kavaa gauni fupi kiasi la kata mikono na kifuani lilikua na uwazi mpana. Zile sex nyonyo zinaonekana. Nikawa namuomba apunguze hasira huku makusudi kabisa macho yangu yaki concentrate kwenye sex nyonyo kifuani na kwenye kwapa ambapo pia maoteo ya nyonyoz yalionekana. I did it deliberately and professionally huku yakinitoka maneno ya "Sheila nisamehe usinielewe vibaya plz plz plz,I'm sorry " bila kuongea kusudi la kumsimamisha kua ni kumtaka aache kunisema vibaya.
Kwa kumtazama vile akawa kama anaona haya hivi. Akawa anataka kama kuji cover lakini haiwezekani na huku macho yangu yanazidi kutalii sehemu hizo. Mwisho akanambia "Bhana mi naenda zangu, watoto wadogo mnatamani muone mlipotoka". Sikupinga wala kufanya juhudi za kumuomba anisikilize. Nikamuacha aondoke
Nikarudi kijiweni kwa wenzangu wasijue yaliyonikuta. Ilikua ni siku mbaya kazini kwa Simba muindaji. Nikijeruhiwa lakini nikajisemea that's all about being a predator. Sikua na nia ya kutongoza ila nimepigwa mshale pamoja na nia yangu njema. Nikajua leo mimi ndio nitakua topic hapo salon kwao na wateja wao na hata wale madem zangu wawili naweza kuwakosa wote Leila akizifikisha hizi habari. Hawa nilikuwa nawakula at will japo kila mmoja alijua yeye ndio nambari one
Zilipita kama siku kumi. Siku hiyo nakumbuka ilikua weekend nilienda Kariakoo. Nimepanda daladala pale Faya la kwenda Mwenge kupitia Mkwajuni na ilikua limejaa sana maana siku hiyo kulikua na mechi Taifa kati ya Simba na Asec Mimosas na muda huo watu ndio wanatoka uwanjani
Kufika Magomeni watu kidogo wakapungua na Mkwajuni kuna mtu wa siti niliyoiegemea akashuka, nikapata nafasi ya kukaa. Hamadi!!! kutupa jicho siti ya pembeni ya dirishani, uso kwa uso na Sheila! Kumbe yeye alikua ameniona muda tu.
Akili yangu ikaniambia huu ndio muda wa kumuomba radhi kama kuna nililomkosea mambo yaishe. Sijafungua mdomo akaniangalia usoni akaniambia huku anatabasamu "Mmmh, umefuraahi mwenyewe kupata siti hii, si ndio ulikua unataka eeh". Ile daladala ilikua inawasha taa za ndani kwenye vituo kwahiyo ilipoanza kuondoka taa ikazima na kunipa confidence zaidi ya kuongea na Sheila
Saa zingine wanyama wawindaji wanakua kama washambuliaji kina Salah, Sadio Mane, C. Ronaldo na wengine. Yaani utadhani wana jini la kuji position. Kipa anaweza akau punch mpira ukaenda moja kwa moja kwenye miguu yao!
Kabda sijaongea kitu Sheila akaanza " Sasa siku ile unaniita barabarani, unitongoze barabarani kweli ni sawa!? Ndio tabia zenu vile? That was bingo. Nilitaka kuomba radhi mwenyewe kanileta kwenye kutongoza. Nikaanza kujieleza nilivyo mstaarabu huku nikijua fika namdanganya na pengine naye anajua anadanganywa. Hakuongea kuonyesha kujua kama anadanganywa wala hakuleta habari za wale wafanyakazi wake!
Huku ile daladala ilikuwa inaenda na sisi tutapaswa kushuka muda si mrefu. Kituo tulichopaswa tushuke ni kinondoni B au Homboz (siku hizi wanaita Kanisani au Biafra) Nikataka nione kama je leo at that particular time naweza nikatoa any instruction nikasikilizwa? Nikamwambia(sio kumuomba) NIKWAMBIA tushukie hapa(Kituo cha Manyanya cha sasa enzi hizo ilikua ni msaada). Hakufikiria mara mbili akainuka tukashuka.
Pale kwa Manyanya kulikua na kota za National House kama zile zilizovunjwa Magomeni na kuna njia ilikua inapita katikati ya zile nyumba unatokea Mahakama ya Kinondoni. Lengo langu ilikua tupate muda njiani nimtongoze vizuri ili awe demu wangu akikubali siku moja nimkule.
Tulishushwa sehemu kuna ka giza kiasi ikawa tunaelekea kwenye zile kota. Ghafla akasimama akaniambia mkojo umemshika sana anataka kukojoa. Wakati natafakari sehemu ya kumuelekeza akanikabidhi hand bag yake na mfuko wake mwingine alikua kaubeaba. Basi alivuta kama hatua mbili au tatu tu kutoka nikiposimama. Akashusha pensi nyanya yake (wazamani watazijua) na chupi, akachuchumaa akamwaga kojo huku namuangalia
Akili ikavurugika, network zote za busara na hekima zikakata, kichwa cha chini kikaanza kuchukua utawala binafsi. Kikao cha dharura cha idara zote za ubongo na moyo kikakaa harakaharaka na mbinu za mapambano zikafumuliwa fasta na kupangwa upya mbinu za medani. Sasa sio mtongozo wa kusubiri jibu baada ya wiki au mwezi tena huna uhakika nalo. Maamuzi ya kikao cha viungo vyote vikasema hili ni tukio la bila kuchelewa. Vikanioa maelekezo kwa kuniambia "Hebu maliza mechi hii kama alivyofanya Boli Zozo kwa Simba miaka ileeee, kwa wale wakongwe kama wanakumbuka"
Kwanza niligundua Sheila amekunywa pombe kiasi maana nilisikia harufu wakati tunaongea kwenye daladala. Nilichofanya badala ya kuongoza njia ya kwenda kwenye zile kota ili tutokee Mahakamani nikabadili muelekeo nikamwambia twende pale tukapate bia moja moja ingine na hakupinga
Tukaelekea Petrol station ya Mwanamboka. Pale kwenye kona ilipo duka la Roby One Fashion sasa hivi kulikua na Guest House ya Mzee mmoja aliwahi kua Balozi wa Tazania nchini Uganda.
Nikamuingiaza hapo nikalipa chumba. Nilipotaka kuagiza vinywaji akasema yeye ana wine yake kwenye ule mfuko alionipa nishike wakati anakojoa. Na mimi nikajisemea kimoyomoyo kua acha nipige hii kitu nikiwa sober kama nataka niifaidi. Kwahiyo sikuagiza chochote
Jamani wanamasihara wenzangu, lichakata ile mbususu hatari wakuu. Sikua na wazo wala mpango wa ndomu, msema kweli tuliambiwa ni nani vile sijui😀. Sheila alikua anajua kuililia m. b.o.o aisee. Yeye aliimba sana na mic ila kato za kuzama chumvini hazikuwepo wakati huo na mimi nashukuru utundu huo umenipitia pembeni hadi sasa nimetulia na familia.
Tulilala pale hadi kesho yake asubuhi. Baada ya hapo ilikua najisevia ninavyotaka. Alikua na wivu kishenzi na akatangaza vita kabisaaa kwa wale mademu wengine kua wakae mbali nami. Alikua anataka kunimiliki kama mali yake binafsi. Matokeo yake ikawa kama nimepewa upako na shetani. Nikaja kumlamba demu mwingine rafiki yake na mteja wao! Wale mademu hawakuacha kunipa kila mmoja kwa wakati wake huku wakinilalamikia kuwasaliti. Nilikua nakataa kujitoa kimasomaso tu ila wanawake hawa, akili zao wanazijua wenyewe
Nilipoenda chuo mazowea yakapungua hatimaye nilipokuja kuhama kabisa maeneo yale mawasiliano yakawa magumu na huko nilipokua nikakutana na changamoto mpya maisha yakaendelea
Hivi vitu vikisha jikoroga kwenye ubongo ubinadamu hutoweka. Kuna ki masihara moja nilipiga, iko huko juu hata sijui page gani. Baada ya hapo tukanogewa. Yeye kanifanya mme sasa wakati wote mmewe hayupo, anaendaga site hata miezi sita hajarudi.Mk
Mkuu, ulichakata kimasihara ndani ya nyumba yako na mkeo?! Aisee ulikua na guts kwelikweli. Ungetafuta japo Guest House ya karibu. Next time usirudie. Japo wanaume tunachepuka tujaribu kupunguza makosa tunayowafanyia wenzi wetu
Huu ni mtazamo wangu wa kiutu uzima lakini. Inawezekana kimasihara ni popote. Inategemea mtu na mtu na mazingira ya tukio lenyewe
Inatokea lkn yeye hajasema ni mke wa mtu, amesema ni rafiki ya mke wake. Ndiyo maana alichelewa job maana hana hofu ya kuwa mali ya mtu mwingineUnajisifia kutafuna mke wa mtu???.Haya Malipo ni hapa hapa duniani.
Maadam tuko kundi moja na wanyama, sisi ni wanyama tu. Ndiyo maana wengine huchakata mama zao au bibi zaoSisi Wanaume ni Nyoko sana Yaani unagonga rafiki wa mke wako?!!!, Aiseee sisi ni vijogoo.
Hujasoma hadi mwisho. Mbona alipiga hadi asubuhi anaitwa mme? Heading na content vitu viwili tofauti. Rudi usome tena SaintHujatumia akili
Huyo demu ingekuwa na subra ungeletewa hio k hadi ukimbie. Haraka zako na ushamba
Lkn sisi tuna Utashi lkn Wanyama hawana utashi.Maadam tuko kundi moja na wanyama, sisi ni wanyama tu. Ndiyo maana wengine huchakata mama zao au bibi zao
Sawa ndo Nasema Malipo ni hapa hapa.Inatokea lkn yeye hajasema ni mke wa mtu, amesema ni rafiki ya mke wake. Ndiyo maana alichelewa job maana hana hofu ya kuwa mali ya mtu mwingine
Hivi unajua ngono kweli wwe? Kwani Daud mfalme alichaka mke wa askari wake wapi? Gest?Huo mchepuko kwanza haujielewe ,pili haumpendi shoga ake!maana kwa namna ilivyo bidada anaona mwenziwe anafaidi mnoo mpk na yeye kakubali kulowa na shemeji yake, tena kwenye nyumba hyo hyo ,kitanda hiko hikoo!
Huyo mke namuonea huruma sana,rafiki mkia wa fisi!
Na huyu baba kaahh!ukahaba gani huoo!
Ha ha ha ha sasa sigara avutie wap? Si rum kwake? Isitoshe aligonga mbona?We huon ana akili ya kitoto,,wewe unaenda kuvuta sigara chumban unadhani ni akili hyo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ngono hutoa utashi. Hebu fikiria mtu kama Daud, askari wake yuko vitani, anampigania, huku yeye anakula mke wa askari wake, kampa mimba anaficha isijulikane, kaamua kumuua. Utashi upo? Wewe ni mjanja kuliko Daud? Kumbuka kati ya watoto nane alichaguliwa yeye Mungu alimuona ametulia lkn mwisho wa siku alifanya yake sasa kisa ngonoLkn sisi tuna Utashi lkn Wanyama hawana utashi.
Kwani ukichapiwa hata utajua basi? Ni siri.Sawa ndo Nasema Malipo ni hapa hapa.
Kwani ukichapiwa hata utajua basi? Ni siri.



,Nikijua,moto wake sio wa Nchi hii.Kwa hiyo wewe Unatumia Mfano wa Daudi kuhalalisha ngono?. Daudi ni Daudi na sisi ni sisi.Ngono hutoa utashi. Hebu fikiria mtu kama Daud, askari wake yuko vitani, anampigania, huku yeye anakula mke wa askari wake, kampa mimba anaficha isijulikane, kaamua kumuua. Utashi upo? Wewe ni mjanja kuliko Daud? Kumbuka kati ya watoto nane alichaguliwa yeye Mungu alimuona ametulia lkn mwisho wa siku alifanya yake sasa kisa ngono