Mnatuletea mastory ya shigongo huku
 
Wakuu kweli kutoboa peponi ni kazi just imagine


Kitaa napo stay kuna sehemu ina maduka makubwa yenye uhakika wa kupata karibu kila kitu unachokihitaji. Sasa kuna duka moja hua naenda kudaka mahitaji yangu mara kwa mara. Halafu kitaa sina mazoea kabisa na watu wengi hasa jinsia ya kike ni wadau wachache tu wa kiume ambao nao tumekutanishwa through football.

Nadhani ni ubize wa kazi na haiba yangu jinsi nilivyo ni mtu fulani mkimya sana kama hunifahamu umaweza kusema huyu jamaa ni mpendwa (mlokole) au huyu jamaa anajisikia sana ndio sababu kubwa ya kutokua mwepesi wa kuzoea watu wengi, sijui kwanini nipo hivi ila hua na enjoy sana hii hali kwa sababu inanifanya niwe free from stress. Kifupi mimi ni mgumu wa kushoboka, hata pisi iwe kali vipi kwangu naona normal tu japo yupo mmoja (girlfriend) wangu anayenitetemesha kwa kuuteka moyo wangu japo nae hua simshobokei kivile kiasi cha kufanya ajione yeye ndio yeye.

Mtaa ninao kaa ni kwa washua, sio kwetu me nimedaka room katika mbanga zangu za kusaka life, so huu mtaa mageti mengi sana, hakuna magenge kusema watoto wa kike watatoka wataenda kununua vitu, wengi wanafanya manunuzi kisha wanaweka vitu kwenye majokofu yao. Hii naeleza sababu ndio ilifanya nika ji bless. Mtaa una pisi nyingi kali ila magetikali.

Siku moja hivi majuzi kati wakati wa likizo ya vyuo (sijui kama ni vyote ila vingi naona wameshaanza kufungua) nimeenda zangu kwenye lile duka nashangaa nakutana na pisi kali hatari kumbe ni mtoto pale na nilikua sijawahi kumuona kabla.
Wakuu Mungu fundi bwana, yule mtoto alikua amekamilika kila idara unayoijua wewe kama kasoro labda iwe kwenye tabia tu maana wanasema hakuna binadamu aliyekosa kasoro, japo mpaka sasa hata tabia yake naona mawaida tu.

Pisi ilidhani nitashoboka maana ndio akili zao hao watoto wa kike hasa wakijijua ni wazuri na wamefungasha. Hii pisi haikuamini nilifata kilichonipeleka japo niliimezea mate lakini nikajikaza kiume nikajikataa. So ikawa hivo kila nikienda dukani naikuta kama mara nne au tano hivi, sikuiuliza hata jina wala yeye alikua halijui langu. Na sikua naenda kila siku nilikua naenda pale tu napohitaji huduma kifupi sikumpaparikia.

Sasa siku nyingine tena nimeenda nakuta mtoto huyo anaongea kwa simu na rafiki yake wa kiume sababu sauti ya upande wa pili nilikua naisikia. Pisi ilimwambia jamaa imewasha pc kakuta inazingua hajui tatizo nini, jamaa upande wa pili akasema nitakuja kuicheki ila nadhani itakua ime corrupt window gharama zake ni elfu 25 (Huenda yupo sawa ila niliona kama dogo anapigwa).

Mzee mzima kwa mara ya kwanza nikashoboka, nikasema lete hio pc tuione, mtoto kuleta kweli window ilikua ime corrupt, nikamwambia kama utaniamini naweza kukupigia nyingine tena for free kabisa. Akaniuliza kwani unakaa wapi, nika m direct akapafahamu ila ndo hivo akaogopa kunipa pc niende nayo akasema nipe namba yako huyu jamaa akizingua takucheki kesho kama nitakua na muda nitakuja au kama inawezekana kufanyia hapa ukiwa free uje.

Nikampa namba na kesho yake kweli alivyonicheki nikaenda, mtoto akanifungulia geti kulikua na viti na meza uwani tukakaa hapo nikampigia window 10, nika install program basi ndo ukawa mwanzo wa kufahamiana hapo.

Ukweli mwanzo nilimtamani nimle, lakini tulivyofahamiana nadhani mimi ndiye nilikua mwanaume pekee pale mtaani ninayeendana na vigezo akivyojiwekea yeye pia nahisi kwenye contact zake mimi ndiye nilikua mwanaume pekee ninayemjali kwa kumpa muda wangu mwingi. Kwani tulianza kuwasiliana mpaka tukazoeana tukawa marafiki wakubwa. Nikajua mambo yake mengi mpaka mahusiano yake na boy wake pia yeye akajua ya kwangu, tulikua washkaji mpaka tukafika ile level yeye anaongea na man wake kwa simu mbele yangu sisikii wivu kabisa na wala hafichi chochote wala kutoka mbele yangu, the same mimi pia kuongea na girlfriend wangu alikua haumii wala kuonyesha wivu wowote tena alikua anasema umuoe sasa huyo wizzo wangu sio umchezee umuache maana nyie wanaume sio poa.

Wakuu ela zipo ila sometimes vitu vidogo tu vinaweza kukupa credit kwa mtoto wa kike mpaka ukabaki unashangaa. Hii mimi nalliita zali la titanic. Kumpa muda wangu na kujali kuhusu yeye kwangu niliona ni kawaida sana kwanza kwa sababu she is so beautiful so nikaona ana deserve lakini kumbe kwake ile care, time kubwa tunavo wasiliana ilijenga kitu kikubwa sana kwake na hapa ndio nimeamini wanawake wanahitaji kujaliwa tu it's enough japo pesa ni muhimu ila the more you care bt her the more you make higher probability ku mu win. Mfano huyu mtoto dukani kwao kuna mi biscut, chocolate za kila aina sikumuona hata siku moja anakula ila nikimpelekea nilizotoa sehemu nyingine swala tu zimetoka kwangu basi alikua anakula na ananishukuru sana mpaka nikabaki nashangaa.

Kifupi nili u win moyo wake japo sikufanya hivo makusudi na nilivyomzoea wazo la kumla sikua nalo kabisa ndio maana hii ni valid kabisa kuitwa kimasihara.
Nimeandika andiko ndefu lakini nimejaribu kudadafua vizuri ili kila mtu aelewe kusewepo na maswali hapa katikati.
Kuna sehemu niliongelea habari za likizo za vyuo, huyu mtoto ni mwanachuo (Udsm 1st yr), ni binti tu she is just 20 yrs old. Kwao magetikali ndio ila angalau yeye uwezo wa kutoka alikua nao masaa kadhaa ila kurudi usiku ndio ilikua noma.

Siku hiyo akanipigia simu ilikua weekend kasema leo nipo nipo tu nakuja room kwako kama upo free, (tulikua tumezoeana sana) so alikua jambo la ajabu kusema anakuja, nikamwambia wewe tu.

Hapa pia wazo la kumgonga halikuwepo sababu nilishamzoea sana namuona kawaida tu. Kweli sio muda huyo akafika.
Tukapiga story sana, jokes nyingi za hapa na pale maongezi mazima hatukuongelea kuhusu man wake wala girlfriend wangu ila mtoto alifurahi sana. Mwanzo pia nilisema kujali kwangu kulizalisha hisia kwake juu yangu.
So alivyokuja nadhani alitegemea nitamtafuna lakini kutokana na haiba yangu na kumzoea sikushoboka ikabidi tu mida mida aage maana story zenyewe zilishaanza kua za kutafuta.

Katika kuniaga nikataka nimsindikize akasema hapana nitarudi mwenyewe muda huo tulikua tumekaribiana sana. Kwa mara ya kwanza toka tufahamiane akaniita Bro! [emoji23] wanawake bhana. Akaniambia nataka niku hug ndio niende, bila hiyana mimi nikakubali (mimi sio domozege wakuu maana kuna watu wataanza kuleta maneno hapa).
Cha ajabu tume hug hataki kuniachia, tukajikuta tunaangaliana usoni, japo nilikua nimemzoea sana kiasi cha kumuona wa kawaida licha ya kwamba ni pisi kali kuna hisia fulani ziliibuka ghalfa kwangu yeye alikua nazo tayari so kwake ziliamka tu.
Sijui ilivyokua ila tulijikuta tu tuna kiss. Kuagana kukaishia hapo romance ikaanza, mtoto ana lips flan hivi laini nilikula sana mate mpaka nikajihisi dunia yote yangu nimeiweka kwenye wallet.

Huu uzi niliwahi kuzinguana na wadau issue za kujilia kimasihara bila kinga ila siku ile kwa mara ya pili maishani mwangu toka nizaliwe nili sex na mwanamke bila kinga. Ilikua emergence.
She is beautiful everywhere, nili enjoy sana hakuna raha kama kula mtoto mzuri huku ukimuona anavyokudekea ilikua balaa, nilijipigia zangu round 2, huyo akasepa. Wanawake bhana [emoji23] alivyoondoka akaacha kujibu text zangu wala kupokea simu zangu, nikapita dukani siku moja nikamkosa, mi sishoboki sana kama uzuri ni wa kwake, nime play part yangu naona mtu ha respond na mimi nikabwaga, sasa ikabaki kila mtu anasubiri fulani aanze kumtafuta. Na mimi makusudi nikaacha kwenda dukani kwao, after kama karibu week mbili naona text yake "I miss you so much" alitegemea nimjibu I miss you too lakini nikacheza na akili yake nikamwambia kama kweli njoo. Huyo kesho akaja, na mimi nilijua atakuja nikadaka kinga, alivyokua huyo nikajipigia kiulaini.

Tulivomaliza akaniambia Nampenda sana mwanume wangu naamini wewe pia unampenda mwanamke wako, nime sex na wewe kwa sababu kuna muda nikikaa peke yangu nahisi kabisa nakupenda, ila ni hivi tujitahidi tusiwaumize tena watu wetu, tubaki normal tusi sex tena.
Kwa kua mimi ni mzee wa ku balance shobo nimekubali iwe anavyotaka ila ninaamini hio nj mechanism defensive yake ya kuua soo siku yoyote nikihitaji nitapiga tu.
Japo sina tena mpango huo japo nime m cheat ila nampenda sana bebe wangu.

Nimeandika ndefu kwa mtakao boeka poleni sana kwa usumbufu.
 
Lugumya imebidi nicheke sana japo nimejitahidi kujizuia. Maza house alipoona unalia akajua kumbe huyu bado mtoto, akakuelewa
 
Dah...

Huwa kuna ladha flan mkizoena na manzi bila kuvuana chupi.
Japo watu wengi huwa wanakuwa wagumu kuelewa.
Maana unapokuwa na Ke.. rafiki mkiwa pamoja mnacheka mnasikilizana asee ladha na sema tena ladha.
Ila ukisha mgonga tuu utaratibu wote unavurugika mawasiliano yanabadilika na visa vinaweza kuwepo .

Any way ukisha kuwa nae sanaa basi itakubidi ulambe asali yake tu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu, unakua free sana na una enjoy sana.. Kuna moment fulani zinakua so fun, mfano unaweza mkawa mnaitana majina ya ajabu ajabu labda we kuku nime ku miss sana n.k
Pia mwanamke anakua anakuamini sana kuna issue zake personal ambazo hawezi kumwambia baba yake, kaka yake au mpenzi wake, ila wewe tu. Akitibuliwa huko sehemu ya kupata faraja ni kwako kiukweli ni raha sana na haya ndio mazingira niliyotaka kuyaweka bahati mbaya ndio hivyo nae akajiongeza tukajikuta tume chukuduana [emoji3], japo game ya bila kupangwa nayo kuna raha yake kuliko ile ya kutongoza ni kama kufunga goli la ushindi dk ya 90+ kwenye world cup final [emoji16]
 
Mwanamke ni kama mtoto.ukimjalijali tu matokeo yake yatakushangaza
Nakubali mkuu kwa 100%.. Na usimjali mwanamke kama huna mpango wa kua nae kwa sababu the more you care the more she love..
Kuna mmoja aliwahi kuniambia kua aliolewa na mume wake kikawaida sana upendo ulikuwepo ila sio kivile. But alikaa ndani ya ndoa the more jamaa alivyokua ana care basi akajikuta anazidi kumpenda zaidi na zaidi now humwambii kitu.
 
Sawa umepiga kimasihala ila siku nyingine usirudie kuharibu madili ya wanaume wenzio ...ukiona mwanaume mwenzio kategesha mtego wa pesa uheshimu .
 
Sawa umepiga kimasihala ila siku nyingine usirudie kuharibu madili ya wanaume wenzio ...ukiona mwanaume mwenzio kategesha mtego wa pesa uheshimu .
Upo sahihi lakini kuna fursa zingine zinakuja kabisa mdomoni mwako kinachobaki ni kumeza tu, huyu pisi sikutaka kabisa kumchukudu yeye mwenyewe ndo kasababisha itokee ilivotokea. Kuna vitu vingine vinakua out of control.
 
Safi sana uandishi mzuri
 
Baharia ulikosea kukaa muda mrefu kwenye kabati ,ingekuwa mimi ni kushika ,kupima oil ,paka mate ,ingiza dushee ....sababu mule kwenye kabati mlikuwa na si zaidi ya dkika 5 ....

niko nashuka taratibu na huu uzi .....
bado sijawafikia ila baharia nakuja mdogomdgo
 
Watu mmepinda aseee

Perth Niwaheri adden Wanawake wengi sana wanapenda mno kupitishiwa ulimi kwenye njia yao ya haja kubwa, sema hawawezi kukiri hapa, wala kuwaambia boyfriends wao, wewe niwaheri inaonesha hujawahi kutana na mende professional, sio kila mdada anastahili kunyonywa mk**du, mdada akiwa msafi, ana makalio yenye shape nzuri na ngozi nzuri, ananyonywa tigo vizuri tu

Kuna mdada mmoja nlimnyonya kinyeo hadi alifika kileleni, alilala na ubavu wake wa kulia, mm nlikuwa nyuma yake nimelalia ubavu wa kulia, mikono yangu miwili imepanua makalio yake, huku ulimi wangu ukiwa unazunguka ndani na nje ya kinyeo chake, Alikua na makalio makubwa hlf malaini yenye ngozi nzuri, uso wangu ulikuwa umeingia karibu wote katikati ya makalio yake, nlikuwa naweka break ya sekunde kadhaa nje kidogo ya tako lake ili nisikose hewa, raha tulizokua tunaziskia wote ...hazielezeki, Wote tulikuwa tunatoa mihemo na miguno ya raha, mdada hakumaliza dakika 10 alikojoa na kufika kileleni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaeeee we jamaa kwamba ulimi unaingiza ndani na kutoa nje?? Yani pale kwenye tundu ulimi unausokomeza ndani ya kundu??
Yani unasikia raha gani kunyonya ****** hadi utoe miguno?? [emoji23][emoji23]we mafia.
 
Nilishasahau kama nimewahi andika humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…