Mr Discount
Member
- Oct 16, 2016
- 83
- 108
Tukiwa na vijana kama hawa 20 tu basi taifa lipo mikono salamaSina uhakika kama hii ni kimasihara ila ngoja niwaletee ivoivo tuu
-Daaah sijui nianzaje, ila ipo hv kuna siku nilikuwa lonely sana, stress nyingi mno....nikasema inabidi ntafute namna ya kujichangamsha
Kwenye harusi kubwa huwa havikosekani viharusi vidogo vidogo. Ni kawaida sana kuliwa kimahisaharaPole na kazi wakuu
Anatoaga jicho la iphone huyo kaa nae mbaliGuys mlinziiiiiiiii, sijui katokea daaa sijui mnasemaga darisalama na kiswahili chake cha kijanjajanja, mrembo hasa sijui walinzi wenzake wanamwangaliaga tu. Amekufa kaoza mm kama najishtukia kutafna mlinzi aisee ila ni pc kali hawswa kakamilika idara zote. Age ni kama 25 hivi
Kileleni palikushinda mkuu..Kula kimasiara uwa akujirudii,kama ulikula ukaja ukala tena basi jua aikua kimasiara
Kwa ufupi nina stori yangu moja fupi sana na kula kimasiara kulitokea ndani ya masaa mawili tu baada ya shetani wa zamu kunipa kibali chakufanya maovu.
Baada ya hapoa nilipo omba tena nikanyimwa na kuambiwa ile siku shetani alinipitia
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bora usiendele boya tu ww
Guys mlinziiiiiiiii, sijui katokea daaa sijui mnasemaga darisalama na kiswahili chake cha kijanjajanja, mrembo hasa sijui walinzi wenzake wanamwangaliaga tu. Amekufa kaoza mm kama najishtukia kutafna mlinzi aisee ila ni pc kali hawswa kakamilika idara zote. Age ni kama 25 hivi
Huu utoto haukubaliki, huu ni wanzukiNilijikata na bati tu, nipo ki dispensary moja hivi hivi ya uswazi nasafisha kidonda, sasa siku hiyo nimevaa bukta, nesi kaweka mguu wangu kwenye paja lake (manesi wengine wana makusudi) si nikadindaa [emoji23][emoji23] nesi akasema mmmmmmmhhhh!! We kaka wee, ndio nini hivi jamani,
Uliuza mechijana na mimi nimekula kimasihara bila kutegemea, nimekuja moro kimajukumu tokea wiki iliyopita, jana jioni natokea kibaruani nimeshuka kwenye gari maeneo ya kihonda st anne natembea kulekea nilipofikia mara kwa mbele nikaona mtoto mmoja mzuri mrefu ana rangi flani
Yani nihihurumiwe tu nimelala na stress nawaza nilivouza mechi kizembe, ila najipa moyo demu mwenyewe anaonekana wa kienyeji hana maseke mengiUliuza mechi
"...hana maseke mengi..."Yani nihihurumiwe tu nimelala na stress nawaza nilivouza mechi kizembe, ila najipa moyo demu mwenyewe anaonekana wa kienyeji hana maseke mengi
"...hana maseke mengi..."
Wakati microphone kaimbanayo kwa sauti kama zote!
"...hana maseke mengi..."
Wakati microphone kaimbanayo kwa sauti kama zote!
Hongerajana na mimi nimekula kimasihara bila kutegemea, nimekuja moro kimajukumu tokea wiki iliyopita, jana jioni natokea kibaruani nimeshuka kwenye gari maeneo ya kihonda st anne natembea kulekea nilipofikia mara kwa mbele nikaona mtoto mmoja mzuri mrefu ana rangi flani ejichokea sina hata mpango na mbususu ila ndio kimasihara ikawa imenikuta.
Tangawizi imekolea SanaJuzi kati hapa demu wangu amejifungua..
Nikawa nimemfanyia shopping kwaajili yake na mtoto..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tangawizi imekolea Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iwe mara ya mwisho kutuletea uongo huu! Siku nyingne tutakufyatuaView attachment 1986602
Hii stori ya hivi Mbona km inafanana na za wengine wengi tu humu??.Kula kimasiara uwa akujirudii,kama ulikula ukaja ukala tena basi jua aikua kimasiara
Baada ya hapoa nilipo omba tena nikanyimwa na kuambiwa ile siku shetani alinipitia
Chai imekua chungu sana koh koh🥴🥴tangawizi imekolea Sana
Sawa mzee, sikupingiKwa jinsi ulivyo simulia story yako, huo msitari unaniambia kwamba you ain't joking.
You are real.