Mr Discount
Member
- Oct 16, 2016
- 83
- 108
Tukiwa na vijana kama hawa 20 tu basi taifa lipo mikono salamaSina uhakika kama hii ni kimasihara ila ngoja niwaletee ivoivo tuu
-Daaah sijui nianzaje, ila ipo hv kuna siku nilikuwa lonely sana, stress nyingi mno....nikasema inabidi ntafute namna ya kujichangamsha