Hahahahaah!!
 
Kama mambo yenyewe ndo haya ni bora nisioe tu
Watoto wawili nilionao wanatosha
 
Shusha mkuuu.....jamaa atakuwa ameshasahau sasa
 
Dear nyerere huko alipo haamini Siku yake ndiyo inaenziwa hivi
 
Binadamu haridhiki mkuu usijidanganye hata siku moja sijafahamu smartness ya aina gani unayoongelea Ila usijejiaminisha hivyo
 
Daah mdindo wa asubuhi asubuh i
 
Mkuuu haisaidii hii at some point in time na wewe unapigiwa vizuri tu
 
Inaonyesha hujali sana kupigwa dushe la mtaroni
 
Hahahahahahahahahah
 
Asantee nzurii

Niku paa nao tuu[emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Vumbi la Kongo haliongezi mzuka. Hii ni kamba
 
Story nzuri.. ila kwa pombe hizo sidhani kama ulikumbuka kinga[emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…