Naunga mkono hojaSiku zote ndio inakuwa hvyo mkuu,yule unapanga awe wako hamtofika mbali yule ambae unasema ngoja nipige nisepe unajukuta umezana
Hahaahahaha malipo ni hapa hapa DunianiMkuu ulikuwa unamlipia Madeni...
Ndege wafananao huruka pamoja.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vinaitwaje?Km uko arusha au moshi kuna vidude flani ivi ukienda masokoni unavikuta.kama soko kilombero au mbuyuni.
Watu wengi huvizarau ila mziki wake sio wa nchi hii.
Viko km nazi unakivunja ndani yake unakuta km kikaranga kinafanana na shilingi hivi.
Ni balaa mzeee watu huwa wanavidharau ila shughuli yake ni mujarab.yaani unavila tuu km karanga
Vinaitwaje?
Nitakuwa mbuyuni kesho kutwa
Acha Ushamba1.Anaitwa.....mariam
2.Anaishi....mabibo-dar es salam
3.Amesoma....Loyola,,,Tambaza na mzumbe university.View attachment 1958653View attachment 1958654View attachment 1958656View attachment 1958657View attachment 1958658
Yamenikuta haya aloo hata siamini mtu niliesema ngoja nipige mara 2 au 3 maana kaumbika vizuri ndo amekua mtu ambae nimekaa nae miaka 3 sasa kwa mahusiano na sijawahi kukaa na mtu mda hivi hata sielewi how mpaka sometimes nawaza ni huu upendo mkubwa na kunisikiliza na kuniheshimu ama nini maana hapa nikistuliwa kesho unaoa basi ni yeye dah.Siku zote ndio inakuwa hvyo mkuu,yule unapanga awe wako hamtofika mbali yule ambae unasema ngoja nipige nisepe unajukuta umezana
Hata watoto wako na wakwake watafanyiwa hivyo hivyo, ibilisi nyieMasista wengi wanajua kutupa cross wadogo zao hadi raha yaan,,,,nna sista angu ameolewa huko mbeya kila akija ndugu wa mume size yangu lzma aoneshe mazingira mazuri ya kutaka nipige.
Acha roho ya hivi[emoji1696]Hata watoto wako na wakwake watafanyiwa hivyo hivyo, ibilisi nyie
Mbona umemind mtu kufanyiwa assist dadakeHata watoto wako na wakwake watafanyiwa hivyo hivyo, ibilisi nyie
Hebu sema kabila gani ambalo wanakataa wakitongozwa?Ukioa mmbulu au muiraq kuchapiwa hata na binamu zako, kaka zako au wadogo zako ni kawaida sana, Hii kabila hawajuagi kukataa kabisa.
Vinaitwaje?
Nitakuwa mbuyuni kesho kutwa
Uko right,mwandishi atakua haijui vizuri LoyolaHuyo demu ni wa uswailini sidhani kama amesoma huko Loyola na Mzumbe. Ada za hizo sehemu na exposure hawezi kupiga picha za kutuma Fb katika mazingira hayo yaliyochoka
Siyo kweme?Km uko arusha au moshi kuna vidude flani ivi ukienda masokoni unavikuta.kama soko kilombero au mbuyuni.
Watu wengi huvizarau ila mziki wake sio wa nchi hii.
Viko km nazi unakivunja ndani yake unakuta km kikaranga kinafanana na shilingi hivi.
Ni balaa mzeee watu huwa wanavidharau ila shughuli yake ni mujarab.yaani unavila tuu km karanga
Swadaktaa
Uko sahihi kabisaSio lazima itokee kwa asilimia 100 mkuu
Ila kinachopelekea ukampenda ni tabia atakayokuonyesha
Narudia tena sio lazima itokee kwa 100%
Sijui kwann ila ndio hvyo inakuwa,japo sio kwa 100%Yamenikuta haya aloo hata siamini mtu niliesema ngoja nipige mara 2 au 3 maana kaumbika vizuri ndo amekua mtu ambae nimekaa nae miaka 3 sasa kwa mahusiano na sijawahi kukaa na mtu mda hivi hata sielewi how mpaka sometimes nawaza ni huu upendo mkubwa na kunisikiliza na kuniheshimu ama nini maana hapa nikistuliwa kesho unaoa basi ni yeye dah.
Vinaitwa kwemeKm uko arusha au moshi kuna vidude flani ivi ukienda masokoni unavikuta.kama soko kilombero au mbuyuni.
Watu wengi huvizarau ila mziki wake sio wa nchi hii.
Viko km nazi unakivunja ndani yake unakuta km kikaranga kinafanana na shilingi hivi.
Ni balaa mzeee watu huwa wanavidharau ila shughuli yake ni mujarab.yaani unavila tuu km karanga