Shushia na maji kidogo uvute pumzi.
 
Halafu sikumaanisha hizo pesa unatanguliza kwangu, I will never think of being na mwanaume wa type yako. Una porojo porojo sana na kujimwambafai.

Inshort you are just a BOY in a man's figure.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hii ndo kula kimasihara and unajua kuandika vizuri.Siyo wengine hawajui kuandika vizuri kazi kuleta porojo na kujimwambafai.
 
Hizo ni threads tu za kujiburudisha and that does not define me.

Only boys like you can take every thing serious kwenye mitandao...Eti nina sura mbaya as if ulishawahi kuniona.

You are so childish and pathetic.
Kwaheri
 
Ulimaanisha kwako mschana wewe mdogoo[emoji23][emoji23]

Ndio maana unatafuta Bwana wa kukuhonga[emoji23][emoji23][emoji23]


Wewe ningekua karibu yako, tungekuzunguka na washikaji zangu, tukakukula wote [emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa chakushangaza wewe na washikaji zako wote mimi ndio ningewafi.ra.
 
Sasa carlos ehh,ungetuambia maujanja unayotumia kupata totoz.
 
Very sad,kama taifa tuna safari ndefu saana.
 
Carlos umenishinda tabia duuuuuu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Acheni ayo Mambo tunataka visa
 
Sasa hii ndo kula kimasihara and unajua kuandika vizuri.Siyo wengine hawajui kuandika vizuri kazi kuleta porojo na kujimwambafai.
We Dada tuondolee uchuro kwenye uzi wetu ......Kama huna kisa Cha kutuletea just shut your mouth sit down en keep on reading. Wewe sio hakimu Hadi utupangie Nini Cha kuandika na kushare .

Kama unatafuta tension ya madanga huu uzi sio sahihi ..

Na nyie wanaume mnao mpa kichwa huyu Dada kwa kulike vicomment vyake acheni uboya .
 
Hizo account ndio zinakufanya ujione umemaliza maisha mwenyewe [emoji38][emoji38][emoji38] embu toa ushamba wako humu.....sio kila mwanaume atapenda ushamba wako zaidi ya Hawa wazee wa loose balls
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Another imbecile
 
Hizo account ndio zinakufanya ujione umemaliza maisha mwenyewe [emoji38][emoji38][emoji38] embu toa ushamba wako humu.....sio kila mwanaume atapenda ushamba wako zaidi ya Hawa wazee wa loose balls
Mbona unaandika kwa uchungu sana..Vipi nikusindikize labour?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kukipa tension hicho kipuuzi
Mpuuzi mwenyewe...Watu mna makasiriko za kipuuzi halafu utakuta eti baba wa familia.

Kabisa mnakaa mna catch feelings kwa thread za jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mxiiieeeweew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…