mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,564
Niko zangu chuo mara akaja mmama flani hivi wa kinyakyusa akaniomba nimfundishe..mara tukazoeana kwa muda mfupi.
Nakumbuka ilikuwa ijumaa tukaagana kwamba tutaonana kesho,nikamwambia naomba uniletee zawadi then akaniuliza zawadi gani nikamjibu chochote hata ukija kunionyesha shanga nitashukuru...akacheeka na kuniuliza nazipenda nikamjibu haswaaa.
Kesho yake nikatimba chuo tukaonana then akaniambia nimekuja na zawadi yako..baada ya kuniambia hivyo nikasisimkwa balaa..muda wa kuondoka nikamwambia itabidi tutafute sehemu nikazione ..kama masihara tukaondoka tukachukua chumba,nikamvua nguo bhana....huo mzigo nilioukuta hapo kiunoni sio mchezo...nilizihesabu nakumbuka zilikuwa 36.
Nilipiga show matata ila alipokuja kuniambia mmewe ni mjeda nikakausha...