Mkuu umeongea point sana .. Tatzo watu wanakurupuka,.
Ww unakutana na mwanamke njian, hujamtongoza, hakuna makubaliano yoyote unaanza kugharamia kila kitu, wakati huo unajua kuwa hajakuomba chochote. Wajilaumu kwa ufala wao[emoji23][emoji23][emoji23]
Si wanajionaga mapedeshee ndama, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ni bora aliwe kuliko maana ameshafaidi vya watu halafu ata ivyo na yeye atasikia utamu muhimu akumbuke kinga kuliko kutaperi kama hivi ni vibaya mana masera uwa wana mtindo wa kuweka kumbukumbu siku wakikutana anaweza kuumizwa.
Acha kushauri upumbavu, acha kuwaza ngono tu
Mawanawake yanayoliwa ovyo hayana akili, mie mwenyew nikimla mtu kimasihara nampotezea ata ka ni mzr vp
 
Acha kushauri upumbavu, acha kuwaza ngono tu
Mawanawake yanayoliwa ovyo hayana akili, mie mwenyew nikimla mtu kimasihara nampotezea ata ka ni mzr vp
sawa lakini hao wagumu unao waheshimu ujue kabisa kuna wamba wana wala kimasihara kubali kataa.
 
Ungemwambia ukweli kuwa umebadilisha lodge na usingependa mawasiliano yaendelee, pia ungefanya uungwana kurudisha hela yake, mtakutana siku moja
Na watakutana pabaya kweli unakuta kaitwa kwenye interview ya bonge la kazi halafu yule bro ndio Boss au HR na kakaa kwenye panel atajutaaaaa…..
 
bahati zingine mkuu sio mbaka uletewe ikiwa uchi
 
Ni haki yako kukataa. But ungemwambia ukweli tu ili asisumbuke.
Imagine alikuwa safari siku kibao halafu siku anafika home anamkataa wife wake kisa kampaki nice v hotel x ,halafu mzigo haupo room.
Sijui alirudi home kwake kwa gia gani au aliendelea kulala guest kupunguza hasira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…