Huwa moyo wangu unajua first impression yake simce day one[emoji23] huwa sihitaji nguvu wala. Na niko tayari kukipigania nachokipenda lakini eti siyo kwa uhuni huu... nikikupa nimekutunuku na siyo jitihada zako
Ndiyo maana sehemu nikasema wanaume wengi tunapenda kusema nimekula kimasihala kumbe alikuingiza kwenye 18 zake ukajiongeza bila kujua
 
Siko vizuri sana katika kutumia maneno makali, yaani neno kama lilivyo, ngumu sana kuliandika. Kama kwa tafsida hiyo imekuwa ngumu kunielewa, sijui utanielewa vipi sasa.

Najaribu tena, umeshawahi kufanya mapenzi?
Kila siku nafanya yale yaliyo mapenzi ya Mungu maishani[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona bado swali ni tata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngenye zimeongezeka aki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…