Kwamba uzi wa majutooo

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa kulamba nyayo...[emoji23][emoji23][emoji23] Dahh mbususu znafanya wanaume tunakula vitu vya Ajabu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wanyumbani kabisa ww😀 ,ngoja mm niwe mwenyeji wako apa njiro, naona ushapita na wengi sana kwa hiz bank.
 
Hiyo ndio kimasihara kama upo rock city nitafute nikufanyie wepesi wa kopo moja la PEP umeze mwezi mzima
 
Mzee ulivaa kondomu au ndo duniani tunapita?
 
acha uongo ww utawaanganya wasijua namna ya upimaji , daamu kwnye conom haiwez pima kwa vipimo hvi vy bioline umeamua kufurahisha genge
 
Aisee, asubuhi hii nmembana amekiri yupo kwenye dawa, ameanza kulia na kuniomba msamaha...naelekea hosp kuanza PEP mda huu, nadhan ntatumia hata miez miwili ili niwe na uhakika...Kwakifupi alipanga kuniangamiza huyu mtu.
Mkuu pole sana, ila nimejikuta nacheka, umekuwa kama shujaa aliyeshindwa vita, anarudi nyumani kashika silaha kichwa akinamisha chini, kwani umepiga kavu for how long?
 
Hiyo ndio kimasihara kama upo rock city nitafute nikufanyie wepesi wa kopo moja la PEP umeze mwezi mzima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasukuma tuna upendo kumbe PEP zipo hacha niendelea kuwachanua tu kwenye jiji letu la wasukuma #mwokozi upo[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…