Wakuu leo hata usingizi sidhani kama ntapata, Nimekula dogo amewaka ( postive).
Ni mda huyu dogo nilianza kula kimasihara tu baada ya yeye kuonesha shibo sababu mimi ni msimamizi wao kwenye kitengo chao...sasa kitu nilichokuwa nashangaa kama mara mbili nikimwambia tupime hataki anasema ajiandae kwanza tutapima tu next time, hivyo na mimi nikaendelea kutumia ndom ila kunamda nilikuwa naipuuza..
Sasa leo amekuja geto jion hii kulala hapa, nimepga show kama bahat mbaya katikati ya mchezo naona dam kumuuliza anasema alikuwa karibu kuingia siku zake, nikabadili condom nayo ikatoka na dam ikabidi niruke ukuta nihamie juu kwa kumshawishi kuwa nimalizie tu ( huwa hatak hata kuguswa hapo ila leo akakubali sabb eti ataniacha vibaya) nikamaliza vizuri na nikagundua kumbe mzoefu mno huko nyuma.
Baada ya kumaliza yeye amelala mimi nikaanza majalibio yangu, ile damu kwenye condom nikasema niipime hiv, Yaani sijaamini imesoma POSTIVE, Nimerudia tena ile ya condom nyingine nayo imesoma positive, nmejipima mimi n NeG,
Kuna vipimo vipya vya oral nikasema acha nijalibu na hiki kwa maji maji ya ile condom imesoma positive tena...
Nimeamua kumuamsha na amegoma kupima kwa kumtoboa. HAPA SINA HAMU WANAJAMVI, HAWA MADEM SIYO