granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,812
- 11,146
Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
Mkuu nimetumia Bajaj 2008 DSM...2011 zilishakuwa nyingi sana tu.
Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
hapa umekula kiubakaji siyo kimasihara jombaa
Wewe mgeni sana Dar es Salaam.Bajaji zipo pale njia panda Mwenge miaka mingi sana.Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
Huyo jamaa mgeni mjini. Tumepanda bajaji pale njia panda Mwenge miaka ya mapema kabisa 2006. Ndio ulikuwa usafiri tukitoka club za masaki na oysterbayMkuu nimetumia Bajaj 2008 DSM...2011 zilishakuwa nyingi sana tu.
Unadhani nataka kuaminiwa, nime-share tu experience. [emoji28]daah sijui kwanini nashindwa kukuamini amini
Nimeishi mikocheni 2004, enzi za 4ways bar pale mwenge, bajaj zilikuwepo 2005 zilisababisha kuondoka kwa daladala zilizokuwa zinaenda mikocheni kutoka mwenge.Wewe mgeni sana Dar es Salaam.Bajaji zipo pale njia panda Mwenge miaka mingi sana.
Bora mtu wa Dar umeliweka hili sawa. Hiki ni kipindi barabara ya Sam Nujoma ilikuwa moja tena mbovu mbovu.Nimeishi mikocheni 2004, enzi za 4ways bar pale mwenge, bajaj zilikuwepo 2005 zilisababisha kuondoka kwa daladala zilizokuwa zinaenda mikocheni kutoka mwenge.
Sana, na upande wa mikocheni kulikuwa na Bar nyingi sana, bajaj zilianzia kwa kupark hii njia ya coca cola mbele ya zilipokuwa zinapark daladala za kwenda mikocheni.Bora mtu wa Dar umeliweka hili sawa. Hiki ni kipindi barabara ya Sam Nujoma ilikuwa moja tena mbovu mbovu.
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyoteNa sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
Mkuu ilikuwa jumatano ya tarehe 16 February. Nakumbuka kulikuwa na game za UEFA champions league. Arsenal anampiga Barcelona 2 kwa 1.Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote
Bazazi
Kitu kimoja umekosea. Mabomu yalianza kulipuka saa 2:15 usiku wa tarehe 14/02/2011. Naikumbuka sana siku kwani nilikuwa naishi Kimara Mwisho, saa 2:30 nilipigiwa simu na kutakiwa kuripoti kazini. Saa tatu niko ofisini na kufanyiwa briefing & debriefing na ikiamriwa nikiwa na mwenzangu mtu mzima tuondoke kwenda Goms. Wakati V anakimbia Goms siye wengine twaenda Goms. Pale getini pamoja na wengine alikuwapo CDF na CMI (siku hizi CDI) Brig Gen Mella. Alfajiri ya saa 11 tar 15/02 wanaume wenda wazimu huku mabomu yakilipuka lakini kwa kasi ndogo tukaingia kuangalia madhara hasa kwa magari ya mizinga.
Mkuu, rekebisha tarehe kwani ni 14/02 na sio 17/02/2011
Bazazi
Mwambie aendelee kuleta screenshot zake. Siku ile ilikuwa ni siku ya Wapendanao nami nilishiriki. Sina haja ya nukuu yeyote
Bazazi
Na sidhani kama kipindi hicho bajaji zilikuwa zinafanya biashara ya kukodishwa Dsm
DuuuuhhhTafadhali mnaoshobokea madem wa karatu wameungua kinyama..pia na mto wa mbu. Reason kuu ni watalii maana hayo maeneo ndio watalii wanashinda kupiga misele kwakua ni karibu.. Mbaya zaidi Wambulu/Wairaq hawajui kumnyima mtu.
Kabebby potezea kujisahau tu mkuuKwaiyo sisi weusi...Ni wabaya...khaaaa Jiheshimu wewe
Hii siku sitaisahau nikajua wahuni wanapindua nchi sasa nikashangaa mbona mzee hanitafuti kunipeleka sehemu salama au labda tukimbie then tuludi nchi ikitulia. Kipindi icho niko chuo mwaka wa tatu ndio namaliziaMkuu ilikuwa jumatano ya tarehe 16 February. Nakumbuka kulikuwa na game za UEFA champions league. Arsenal anampiga Barcelona 2 kwa 1.
Kwa kuongeza angalia screenshot ya uzi hapa chini
View attachment 1264645
Hii story huwa sipendi kuiongelea ila kwa vile tupo na fekero ngoja niiweke kukimbiza Uzi.
Kuna demu Mmoja undugu kwa Mbali, wakati nipo A-level yeye ndo amemaliza std seven na hakuendelea na shule akawa yupo tu home. Huyo demu alikuwa mzuri kiasi ila baada ya kuja kujipodoa alikuja kuwa mzuri zaidi. Nikiwa likizo nilikuwa napenda kwenda kufulia mtoni (nilikuwa sipendi kufuliwa Nguo zangu), Sasa njia ya kwenda mtoni inapita kwa akina huyo demu. Kwa hyo akiniona napita kuelekea mtoni Lazima atanifuata nyuma, na atakaa na mimi mtoni mpaka nimalize kufua ndo tunarudi wote. Alikuwaga anaonyesha kila dalili ya kutaka nimgegede ila mimi vilikuwa nadharau najisemea Sasa huyo Mtoto nimpeleke wapi mimi.
Baada ya kumaliza A level nikiwa Chuo na yeye akawa amekuja dar kwa sister yake. Kwa hayo nikiwa likizo mkoa sikubahatika kuonanan Naye na hatukuwai kuwasiliana hata kwa simu. Siku moja nipo Ubungo (nimeshamaliza chuo) nasubiria daladala kwenda getto akaja mtu kwa nyuma akanifunika macho kwa mokono. Hisia ikanipa tu kuwa hii ni mikono ya demu, nimtoa mikono kugeuka nikakuta ni Yule demu ila kawa kisu balaa (maji ya dar Sijui huwa yana nn tu na Watoto wa kike wanaotoka mkoani)
Basi nikapigwa na mshangoa nikamuuliza ni wewe au nimekufananisha, akjibu ni mimi, hapo sauti imeshakuwa ya kidasalam. Yaani hata sikuongea zaidi nikamwambia twende home basi, na yeye hata hakusita akaniambia twende. Basi tukarukia daladala huyo nikampeleka getto nilipokuwa nakaa. Kuingia ndani hakuna aliyemsemesha mwenzake tulianza tu kukiss na kuanza kugegedana, tuligegedana mpka jioni nikwamwambia twende nikusindikize uende home, akaniambia nalala hapa, nikamuuliza sister hana noma akasema nitamwambia nililala kwa Rafiki vyangu.
Usiku tukatoka tukaenda kula na kupiga Vyombo kidogo tukarudi tukagegedana moaka asubuhi maana yule demu nadhani alikuwa anafidia muda wote ambao alikuwa anatakaga nimgegede mimi nikawa napotezea. Asubuhi wakati namsindikiza akaniambia furaha niliyonayo ni Kubwa mno maana nimefanya kitu ambacho vilikuwa natamani Kufanya tangia nikiwa Mdogo sana.
Kwa Sasa kaolewa huko huko mkoani kwetu na ana watoto wawili ila bado tu anatakaga nimle. Juzi kati mother alikuwa anaumwa nikaenda kumsalimka mkoa aliposikia tu kuwa nipo home akaja. Wakati namsindikiza akaniambia jpili twendwe town basi ukaninanii...(tunakaa nje ya mji kidogo) nikwamwambia we ni mke wa mtu halafu siku hzi mimi nna tabia mbaya hautaniweza, Sijui alijua ninaongelea nini, akaniambia chochote utakachotaka nitakupa..duuu...MZEE baba uzalendo ulinishida nikaenda kujilia vyangu na nikapewa chochote nilichokitaka..hahahaaaaaa
Kitu kimoja umekosea. Mabomu yalianza kulipuka saa 2:15 usiku wa tarehe 14/02/2011. Naikumbuka sana siku kwani nilikuwa naishi Kimara Mwisho, saa 2:30 nilipigiwa simu na kutakiwa kuripoti kazini. Saa tatu niko ofisini na kufanyiwa briefing & debriefing na ikiamriwa nikiwa na mwenzangu mtu mzima tuondoke kwenda Goms. Wakati V anakimbia Goms siye wengine twaenda Goms. Pale getini pamoja na wengine alikuwapo CDF na CMI (siku hizi CDI) Brig Gen Mella. Alfajiri ya saa 11 tar 15/02 wanaume wenda wazimu huku mabomu yakilipuka lakini kwa kasi ndogo tukaingia kuangalia madhara hasa kwa magari ya mizinga.
Mkuu, rekebisha tarehe kwani ni 14/02 na sio 17/02/2011
Bazazi