Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hizi kimasihara hizi dah!

Juzi kati hapa nilienda sehemu Kwenye ofisi ya rafiki yangu nikakuta ana secretary mpya ila ni kisu balaa.

Nikamuuliza mshikaji vipi totoz hiyo haujaikula kweli maana rafiki yangu naye na mimi huwa hatupishani tabia Akasema wala hafikirii maana ataharibu Heshima na nidhamu itapungua.

Nikamwambia basi ngoja nikuheshimishe kamanda , bahati Nzuri bibie anaishi uelekeo mmoja na mimi.

Wakati natoka muda wa kufunga ofisi umewadia so jamaa akasema mpe lift ukamuache Kizuiani. Nikasema huyu leo hii hii analiwa.

Tukatoka wakati tupo njiani ile foleni nikamchombeza unaonaje twende sehemu tukapate hata supu jioni hii . Akasema poa ,mimi sio mnywaji wa alcohol yoyote ile hivyo huwa sipendi kumwambia mtu tukale Kilaji. Tumefika pale sitoitaja hiyo sehemu kwa sababu za privacy kidogo . Yeye ameagiza serengeti lite , mimi nikaagiza MONSTER yangu. Ila sijui alikuwa anazimwaga chini kudadeki alipiga kama chupa tano hivi ndani ya nusu saa tu.

Nikaona anacheka cheka mara anisifie nikaenda kuchukua chumba bila kumjulisha nilivyorudi nikamwmabia tuhamie ndani hapa macho ya watu mengi.

Yule dada Siku ile nilichakata papuchi ila anapiga kelele kama anatumia vile mpaka nilikuwa naona kero. Baadae ananiambia pale alipo ana mimba ya miezi mitatu halafu jamaa aliyempa anamwambia aitoe hivyo yupo full stressed . Nikaona enhe nisije nikapewa mimba isiyo yangu.

Nikamwambia rafiki yangu bhana secretary wako ameshaliwa ila sirudii tena . Jamaa alicheka sana huwa tuna usemi wetu " Nani kaiona kesho " huu ni wimbo wa Bendi ya msondo.

Niishie hapo .
 
Hahaa bia tano ndan ya nusu saa halaf mwanamke, kwel huyo alikuwa na stress.
Kibaya zaidi ulimuona pisi balaa, ulivyomla na kumshusha hata msg zake unaziona kero na vile unajua ana mjusi tumbon[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tulivyoachana pale kama saa nne usiku hivi alinitumia SMS vipi baby umefika salama .nikamwambia usinitumie sms mpaka nikuanze maana mke wangu huwa anashika simu yangu.

Ndio imetoka hiyo.
 
Unapomwomba namba mke wa mtu

Hakikisha unachomekea hii sentensi (NI LAZIMA)

[emoji117]embu tubadilishane namba za simu, ila tafadhali sana sana ,usithubutu kunitafuta Mumeo akiwepo ,unitafute ukiwa uko free maana mimi mwenyewe sina mpango wa kukutafuta kila ikifika saa 12 jion,labda itokee umenianza wewe ,hii ni sababu nataka mambo yetu yafanyike kwa uzuri huku nikiendelea kukulinda wewe na kuhesh ndoa yako.

Chomekea hilo maana Utanishukuru Baadae... Kwasababu haina haja ya kutongoza, Wee utamuuliza tu nilin anamuda utafute room
Ni dhambi kubwa kula wake za watu, nakuona unalipa promo sana juu ya wake za watu unahamisisha dhambi, vitabu vya dini vimekusihi ndoa na iheshimiwe na kila mtu, sasa mkuu wewe kila ukipost ni wake za watu msitafute mikosi isiyo na ulazima
 
Kuna wanaokuunga mkono lakini sio sawa kujimwambafai kuwala wake za watu hiyo siyo sifa unavuruga familia za watu, na tangu umekuja hizi kauli mbiu zako juu ya wake za watu unanitoa kwenye mstari sana kusoma post zako, badilika kama wengine hawatakuambia mimi nitakuambia hakuna sifa ya kula mke wa mtu
 
Mkuu, tatizo waume zao wanakula mademu zetu

Sasa itakuaje??
Mkuu wewe hiyo dhana umeitoa wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nakusihi tu ukishajua tu huyu ni mke wa mtu ba wanapenda kutokana na mwanamke anavyosema achana nao, tafuta digidigi nyingine zitakufaa mbona vitoto vipo vingi tu mtaani na vitamu balaa,
 
Nmekusoma mkuu... Semea wake za watu niwaache

Nijikite na madada 30+ ambao hawajaolewa au singo mama.

Hizi digidigi ,mara ya mwisho kuzichapa ilikua 2018 .

Ila nataka nitafute kisuuuuuu kikali nioe ,nilee wanangu
Hapo utakua umefanya la maana mkuu achana na hawa wake za watu, kuna wanaume wanajali sana ndoa zao wanahudumia sana ndoa zao wanawapa wake zao kila kitu na bado anaenda mbali anahudumia mpaka familia ya mke wake, anasomesha shemiji chuo nk yani mzee baba halafu leo mtu unakuja sikia mkeo analiwa kimasihara na kichalii tu ndiyo maana watu wanaua kwa kuwa na jaziba, ndoa ni taasisi na watu wanaoingia wana commitment kubwa ehh halafu unakuja kijana unamla mke wa mtu kimasihara kweli hebu pata picha
 
Ni dhambi kubwa kula wake za watu, nakuona unalipa promo sana juu ya wake za watu unahamisisha dhambi, vitabu vya dini vimekusihi ndoa na iheshimiwe na kila mtu, sasa mkuu wewe kila ukipost ni wake za watu msitafute mikosi isiyo na ulazima
Kaka Ice hivi mke wa mtu kabisa anaanzaje kutongozwa akakubali,mi nasema mwanamke aliyeolewa then mzinzi Huyo ni kahaba classic na yeye ndo hajielewi.
Kuna mume wa watu na mke wa MTU!!!
 
Hapo utakua umefanya la maana mkuu achana na hawa wake za watu, kuna wanaume wanajali sana ndoa zao wanahudumia sana ndoa zao wanawapa wake zao kila kitu na bado anaenda mbali anahudumia mpaka familia ya mke wake, anasomesha shemiji chuo nk yani mzee baba halafu leo mtu unakuja sikia mkeo analiwa kimasihara na kichalii tu ndiyo maana watu wanaua kwa kuwa na jaziba, ndoa ni taasisi na watu wanaoingia wana commitment kubwa ehh halafu unakuja kijana unamla mke wa mtu kimasihara kweli hebu pata picha
Huyo mwanamke nae anakubali kutongozwa,katoa namba ya simu,mpk kuingia gesti,mke wa MTU...nnao marafiki zangu wameolewa na wanachepuka haswaa MTU kapewa Harrier lakini analiwa daahh!mpk aibu!unamuonea huruma mmewe mpk baasi!na ktk wanawake wazinzi kwa sasa wake za watu wanaongoza pia!mi najiitia upunguani unless labda mmewe awe amemtelekeza au may be yuko na matatizo may be kifungo n.k lakini uko nae ndani bado wazini!BA's mwanamke ni Malaya nasema tena Malaya!hakuna excuse ya mke wa mtu kuziniwa
 
Kaka Ice hivi mke wa mtu kabisa anaanzaje kutongozwa akakubali,mi nasema mwanamke aliyeolewa then mzinzi Huyo ni kahaba classic na yeye ndo hajielewi.
Kuna mume wa watu na mke wa MTU!!!
Unachosema ni sawa kumbuka watu hatufanani kitabia nk, na pia tabia za mtu ni kutokana na makuzi aliyopitia, sikatai kuna wake za watu wana mienendo mibovu lakini haifanyi wake wote wawe hivyo, pia mke wa mtu kutongozwa na kukubali haimfanyi aonekane ni malaya au vipi, kuna wanaume wana ushawishi mke anaweza anguka kwa ushawishi, all in all nachokazia sana hapa tuheshimu ndoa za watu haijalishi mwanamke ni marahisi au anajirahisisha sana kwa wanaume au vipi sisi ni nani kuyapinga maandiko tumeambiwa ndoa na iheshimiwe na kila mtu
 
Huyo mwanamke nae anakubali kutongozwa,katoa namba ya simu,mpk kuingia gesti,mke wa MTU...nnao marafiki zangu wameolewa na wanachepuka haswaa MTU kapewa Harrier lakini analiwa daahh!mpk aibu!unamuonea huruma mmewe mpk baasi!na ktk wanawake wazinzi kwa sasa wake za watu wanaongoza pia!mi najiitia upunguani unless labda mmewe awe amemtelekeza au may yuko na matatizo may kifungo n.k lakini uko nae ndani bado wazini!BA's mwanamke ni Malaya nasema tena Malaya!hakuna excuse ya mke wa mtu kuziniwa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Haya ni majanga ila pia la kuongezea mke wa mtu kuwa wa hovyo inategemea na kundi analokua nalo mara nyingi yani wale mashoga zake, sasa ukichagua mashoga wa hovyo nawe unakua wa hovyo sasa tazama kundi ulilopo Raynavero na ujitafakari, kuna baadhi ya hoja nyingine nimezijibu kwenye post ya juu,
 
Huyo mwanamke nae anakubali kutongozwa,katoa namba ya simu,mpk kuingia gesti,mke wa MTU...nnao marafiki zangu wameolewa na wanachepuka haswaa MTU kapewa Harrier lakini analiwa daahh!mpk aibu!unamuonea huruma mmewe mpk baasi!na ktk wanawake wazinzi kwa sasa wake za watu wanaongoza pia!mi najiitia upunguani unless labda mmewe awe amemtelekeza au may yuko na matatizo may kifungo n.k lakini uko nae ndani bado wazini!BA's mwanamke ni Malaya nasema tena Malaya!hakuna excuse ya mke wa mtu kuziniwa
Kama umeolewa na Huchepuki...

My Dear omba kila siku mbingu zikuepushe kukutana na Bad Boys !!!

Omba sanaaa nasema OMBA SANAA yaan Omba ili ukikutana nao uwaone ni wabaya wa sura, wabaya wakila kitu, usiwape nafasi wala muda.

Ila ukiteleza ukampa Dakika 10 za kukuchekesha UMELIWA.

nayasema haya kwa sababu ,Nmeona WAKE ZA WATU WENYE ELIMU,KAZI NA MAADILI TOFAUTI TOFAUTI wengine Wanaswali sanaaaa yaan Muslim wale wanaobakisha tumacho.

KWA NGUVU ZAKO MWENYEWE, HUTOWEZA NASEMA HUTOWEZA....wala usiwashangae na kuwadharau hao marafiki zako...... Wao wanajua maisha yao kuliko hata wewe.
 
Back
Top Bottom