cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,405
- 188,152
Tupo pa1 hapaSitakuja kulipa pesa ili nichajiwe kuandika Research. Nitaikosea nitampelekea supervisor atanisahihisha mwisho wa siku nitakua na kazi iliyotokana na uelewa wangu.
Ni ishu ya kujisomea na kuandika. Tatizo liko wapi?