Ulishawahi kuandikiwa Dissertation na mtu?

Ulishawahi kuandikiwa Dissertation na mtu?

PAGEPATROL

Pagepatrol Tunatoa huduma za Editing, Proofreading And Translations.

Editing and proofreading in terms of.
Research paper,Journals,Thesis,Articles, contract,Essay writings etc.

Translation in terms of;
Germany, English,French and Swahili.

Gharama zetu ni kwa bei nafuu Sana.

Editing and proofreading @ page Tzshs1000/=

Translation @ page Tshs 10,000/=

Pia Tunatoa huduma za kuandika

Barua za aina zote Kama vile
Application letter, scholarship letters etc. Kwa gharama nafuu kabisa Tshs 15,000/=

Pia Tunatoa huduma za kuandika CV kwa gharama nafuu Kabisa 20,000/=

Pia Tunatoa huduma za research editing, proofread, na kila kitu kinacho husiana na Research vyote tunafanya kwa bei nafuu Sana kwa Gharama ya shilling laki tatu tu 300,000/=

Tunapatikana :

Chuo Cha CBE dar es salaam
Bibi titi Road
Kituo Akiba ( unapita mnazi mmoja )
Tupo Mkabala na chuo kikuu cha DIT

Kwa mawasiliano

WhatsApp 0767316144

Telephone no:
Contact Person : (Mr Mahali)
0714316144/0784t507548

Karibuni Sana wote mnakaribishwa
 
Mm la 7 C
20220313_073207.jpg
 
Wenzetu wana masters ambazo dissertation sio lazima unaweza instead ukafanya courses za ziada kutimiza graduation requirements au internship na kuandika report. Hizi zinawafaa zaidi wale ambao hawana ulazima wa kufanya utafiti kutokana na malengo yao. .

Mfano mzuri ni makerere
 
Back
Top Bottom