Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulipataje?

Mimi nimeipata Jumatatu ya wiki hii baada ya kumaliza mkataba wa kwanza sehemu nilipoajiriwa.. Nimepata Kama 2,600,000tsh..walioajiriwa sekta binafsi wanaijua hii inaitwa (GRATITUDE).. yaani shukrani ya mwajili baada ya mkataba.. Nina umri wa miaka 27..Toka Jumatatu nawaza la kufanya sipati chochote.. Ukizingatia Imekuja wakati mmoja na mshahara Nimejikuta Nina zaidi ya million tatu.. Hapa nawaza nifanye nini.. Mwenye wazo lolote la uwekezaji aniambie maana Mimi nilitaka ninunue Boda Boda nimpe mtu mwaminifu aingie barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa na miaka 24, Skushika million 1 ila nilshika Million 5.500k cash

Ni baada ya kufngua kibubu changu nilcho ktunza kwa miaka 2 tu.

Vjana wenzangu kibubu knaokoa sana tjtahd hasa ukiwa na kaz ambayo hutakaa ukiwaza sana kibubu yaaan sio kila unapopata tatzo unawaza kibubu hapo htofiksha malengo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua boda boda unipe tufanye kazi mkuu
Mimi nimeipata Jumatatu ya wiki hii baada ya kumaliza mkataba wa kwanza sehemu nilipoajiriwa.. Nimepata Kama 2,600,000tsh..walioajiriwa sekta binafsi wanaijua hii inaitwa (GRATITUDE).. yaani shukrani ya mwajili baada ya mkataba.. Nina umri wa miaka 27..Toka Jumatatu nawaza la kufanya sipati chochote.. Ukizingatia Imekuja wakati mmoja na mshahara Nimejikuta Nina zaidi ya million tatu.. Hapa nawaza nifanye nini.. Mwenye wazo lolote la uwekezaji aniambie maana Mimi nilitaka ninunue Boda Boda nimpe mtu mwaminifu aingie barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20 yrs nilishika 1.2M saving+boom

23 yrs mwaka jana 11M

24 yrs ndio nasubir nione chongo utakuwajee maana nimeinvest pesa yote hapa sina kitu mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikua na umri mkubwa nafikiri nilikua un20 ila sikuipata kirahisi aisee nakumbuka niliwahi kulala kwenye bus lililovunjika vioo nikamlipa mlizi500 ili kuikoa2500 ya gesti nilipigwa na baridi maana lile eneo usiku kuna upepo mkali sijawai ona na nilivaa kitishet chepesi kilichotoboka toboka..

Hizi ni kati ya njia nilizopitia ila sio kwamba nilishaipata..

Nb;kushika ml cash ni ngumu ila kutumia ml ni rahisi tu unaweza jenga nyumba ya ml10 alafu hujawahi kamata milion cash.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaposema plan unaweza kuzidodosha hapa kidogo ...ABC zake mpaka kuanza kumiliki kiasi hicho ?
haya ni mawazo mgando, ni sawa na kucheza biko. Usipompata hujui utakua umepoteza muda wako bure.

Ukiwa na mawazo yakutafuta kwa jasho akili yako pamoja na fursa zitajifungua zenyewe. Kua na imani, mimi nikiwa na 29 sikuwa nimeahika, ila baada ya kushika nikiwa na 31 nikaendelea kuzishika na nikahama kwenye laki laki nikaingia kwenye milioni nilioni, weka plan mkuu 29 mbona badoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi nitafute jimama linilee sasa maana mpaka leo 1M cash sijagusa, kama kuna jimama PM ikowazi.
Hela za bure hukai fanyia kitu cha maana ila ni tamu hivi unafeel vipi kudate na somebody like your mom,
Mimi wakati Niko chuo mwanangu damdam alipata limama lina business safi vilaki sio kitu kwake na ndinga LA maana basi mchizi ni kufanyiwa mashopping kanunuliwa simu brand new Kali kapangishiwa geto Kali one day natambulishwa kwa big mama doh nilichoka she was 45+ hata maza yake jamaa ni mdogo kidogo kwa huyo big mama ila jamaa kananiambia Mimi nachojali pesa tuliponda raha viwanja kwa sana sometimes anapewa ndinga ni kutanua tu mjini bata after bata huku namuonea jamaa huruma maana namshauri awekeze hasikii chuo anaenda siku za pepa namshauri utadisco haelewi, biashara zikayumba za sugar mamy migogoro ikaanza na jamaa akapigwa chini huku chuo akaja kudisco kama mkosi vile jamaa paka Leo anamaisha magumu mno, sometimes kumvua rika LA mzazi wako chupi ni kujitafutia mikosi note that brother.
 
Binafsi miaka 30 sasa ni mtu wa Kujaribu Jaribu vitu vingi ( ideas ) hivyo nikipata laki 2, 3 au 4 najaribu kitu kipya.

Kukusanya Milioni NET nikawa nayo mkononi SIJAWAHI kwasababu siyo muumini wa Saving na sijawahi kupata Deal la kulipwa pesa hiyo.
 
Anza biashara ya pombe locally kwamtaji wa 1m unatosha,watu pombe wanakunywa haswa!

Back
Top Bottom