Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulipataje?

Ukinunua Boda jua hela umeizika
Mimi nimeipata Jumatatu ya wiki hii baada ya kumaliza mkataba wa kwanza sehemu nilipoajiriwa.. Nimepata Kama 2,600,000tsh..walioajiriwa sekta binafsi wanaijua hii inaitwa (GRATITUDE).. yaani shukrani ya mwajili baada ya mkataba.. Nina umri wa miaka 27..Toka Jumatatu nawaza la kufanya sipati chochote.. Ukizingatia Imekuja wakati mmoja na mshahara Nimejikuta Nina zaidi ya million tatu.. Hapa nawaza nifanye nini.. Mwenye wazo lolote la uwekezaji aniambie maana Mimi nilitaka ninunue Boda Boda nimpe mtu mwaminifu aingie barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uzezeta. Nimetumia neno kali na la kashfa ili ujue nimesisitiza.
Fanya kitu kingine chochote lakini sio biashara hii ya bodaboda.
 
Niliipata nikiwa chuo ifm ,nilipewa ada na mama wakati mm nilikuwa nalipiwa na serikali (mama hakujua) ,nikanunua vyumba hostel ifm kipindi hicho hostel dili kinoma ,nilinunua vyumba vitatu kwa laki 6 kila chumba kina vitanda vi 4 ,kila kitanda wanalala watu wawili na kila kitanda unapangisha per person
300,00×2 =600,000
600,000×4=2,400,000
2,400,000×3=7,200,000 that was second year
Nikamchimbia kisima mama yangu ,she was able to earn 15,000 kwa siku minimum kwa kuuza kwakuwa alipokuwa anakaa palikuwa na shida ya maji

3rd year ilikuwa hatari ....nilipiga mpaka 10m no one knew niliifanya kwa displine kubwa nikarudi post graduate i did the same

Nikaja shtukiwa na warden nilivyomaliza post nikafanya kwa faida ndogo baadae soko la vyumba chuo likawa sio dili baaada ya wanafunzi wengi kuprefer kigambon na hostl za nje ...nami nikawa nafanya bznes huku naajaliwa ,nikaona upuuuzi nw naendelea na biashara maisha yangu si makubwa saaaana lakini nimaisha ambayo wengi wanayatamani ,napata changu ,napata cha kusomesha ndugu zangu sidaiwi kodi ,nabado nasave hela mara 5 ya mshahara niliokuwa napewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka gani mkuu?
 
kwa nini unasema hivyo, hapa mtaani kwangu kuna vijana bodaboda zimewakomboa kwa umri mdogo wamefanya maendeleo tu makubwa kuliko waajiriwa
Bodaboda au chombo chochote cha moto ukimpa MTU umeumia wengi si waaminifu, lakini ukiendesha mwenyewe utafaidi mfano bodaboda mtaani hapa mkoa wenye nidhamu wanamake wastani wa 20000 per day hapo katoa matumizi ya chakula na mafuta cha msingi usiwe MTU wa starehe daily pia uaminifu na brand ya jina ni mbinu nyingine utapata wateja wa kilasiku wa delivery ya bidhaa ndogondogo.Bodaboda and the like inalipa ukiendesha mwenyewe Ikiwa Mali yako kamilioni moja unakashika within 50 day tu Naongelea nachofahamu.
 
12ml nikiwa na miaka 25 baada ya kuamua kuacha kuajiriwa na kuamua kuingia shamba kulima NYANYA
mpaka wa leo sijutii maamuz ya kuacha kazi niliyokuwa nayo mwanzo na kufanya ukulima
na maisha yako poa 2 kiasi chake
 
ulilima kile kipindi cha nyanya moja jero nini?
 
2013 nikiwa na miaka 25.
Niliwekeza kidogo kidogo kwa biashara ya kuchaji simu na betri za simu kwa kutumia chaja za kobe.
Nilikua nikiamka saa 10 alfajiri na kulala saa sita usiku.
Hela hiyo ilinifanya nihame kwa kaka yangu mpaka leo sijawahi kuwa na chini ya akiba ya hela hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12ml nikiwa na miaka 25 baada ya kuamua kuacha kuajiriwa na kuamua kuingia shamba kulima NYANYA
mpaka wa leo sijutii maamuz ya kuacha kazi niliyokuwa nayo mwanzo na kufanya ukulima
na maisha yako poa 2 kiasi chake
hii ilikuwa 2015 mkuu
sitakaa nisahau ndio ilibadilisha maisha yang mpaka leo ndio kamsingi changu cha kubadilishia mboga
 
Mimi nimeipata Jumatatu ya wiki hii baada ya kumaliza mkataba wa kwanza sehemu nilipoajiriwa.. Nimepata Kama 2,600,000tsh..walioajiriwa sekta binafsi wanaijua hii inaitwa (GRATITUDE).. yaani shukrani ya mwajili baada ya mkataba.. Nina umri wa miaka 27..Toka Jumatatu nawaza la kufanya sipati chochote.. Ukizingatia Imekuja wakati mmoja na mshahara Nimejikuta Nina zaidi ya million tatu.. Hapa nawaza nifanye nini.. Mwenye wazo lolote la uwekezaji aniambie maana Mimi nilitaka ninunue Boda Boda nimpe mtu mwaminifu aingie barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni GRATITUDE au GRATUITY?
 
nina miaka 29 sasa sijawahi kumiliki millioni ya kwangu mwenyewe...sijui nakwama wapi kazi najituma kweli lakini wapi.....
hahahaa! kwa waganga umejaribu mkuu?

Maana gari lisipowaka lenyewe shurti lisukumwe.

Kajaribu mkuu linaweza likawakia kwenye gia baada ya miezi kadhaa ukaja na stori toooofauti kabisa
 
Binafsi miaka 30 sasa ni mtu wa Kujaribu Jaribu vitu vingi ( ideas ) hivyo nikipata laki 2, 3 au 4 najaribu kitu kipya.

Kukusanya Milioni NET nikawa nayo mkononi SIJAWAHI kwasababu siyo muumini wa Saving na sijawahi kupata Deal la kulipwa pesa hiyo.
Sasa Chief, tutatoboaje huku hatusevu? Ina maana huna malengo ya saving ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa na miaka 17 nilipewa 4 M kama urithi baada ya baba kufariki. Nilipofikisha miaka 19 nilianza biashara ya kukopesha pesa wakulima wa tumbaku amapo nilipata faida mpaka ya 1.3 M. Pamoja na kuja kishika pesa nyingi baadae lakini sijawahi kuzidi 40 M. Vp hapo umenielewa au niongeze sauti?
Ongeza volume dogo, hajakuamini ujue!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Million 15 za meridianbet 2017! Chuo last year....sijui hata ziliishaje🤣🤣
 
Back
Top Bottom