Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapana aiseeh siwezi mie, kama hunitaki niambie tuu mapema kwasababu naona dalili sio nzuri kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona mwenzio wa kwa Ay aliweza wamechunguzana wee now imekuwa

Hutaki tuchunguzane baby kabla hatuja ji conmit kabsa!?
 
Natamani sana nioe, niwe na watoto nafikiria jinsi gani nitakavyo tumia mda wangu na hela kuwekeza kwa watoto lazma wapate elimu bora yeye ubora wa kimataifa...

siyo unawah kuwa na watoto halafu unakuja kuwatelekeza
Jina lenyewe jambazi,,,nina mashaka na hizo pesa utakazo zipata.
 
hahahha Yani JF bhana hutakiwi kuwa serious kabiiiisa , Vinginevyo utajikuta wewe ni wa mwisho kila kitu yani
 
Duh uliwah ila hongera mkuu,mpo wote hadi leo?
Wewe ndo umechelewa sana, yeye alichelewa kidogo, huwezi sema umri huo eti kawahi...poleee endelea kunyonya kwa mama hadi mvi zikutoke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…