coolboyjden
JF-Expert Member
- Apr 10, 2021
- 286
- 403
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza Mh. Raisi Mama yetu Samia Suluhu Hassani kufika salama huko marekani.
Pili, nikirudi kwenye kichwa cha habari cha mada hii, jana nilipokuwa mahali nikipata zangu kahawa nilibahatika kuona katika mitandao clip ikitembea ikimuonesha Mh. Rais akilakiwa na kikundi kidogo cha wanawake wasio na maadaili (kuanzia mionekano na mavazi yao) pindi alipokanyaga ardhi ya Marekani...
Ni kupoteza hela kwa gharama kubwa kulinda hatari isiyo kuwepo. Zaidi ya wananchi wa Tanzania wanaokandamizwa na utawala uliopo, ambao hata uwezo wa kupanda ndege hawana, nje Samia hana adui. Anacheza mziki kwa midundo yao, hatari itoke wapi?Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza Mh. Raisi Mama yetu Samia Suluhu Hassani kufika salama huko marekani.
Pili, nikirudi kwenye kichwa cha habari cha mada hii, jana nilipokuwa mahali nikipata zangu kahawa nilibahatika kuona katika mitandao clip ikitembea ikimuonesha Mh. Rais akilakiwa na kikundi kidogo cha wanawake wasio na maadaili (kuanzia mionekano na mavazi yao) pindi alipokanyaga ardhi ya Marekani.
Muulize zile bunduki mbona hazijaonekana? Magufuli misafara yake mpaka helicopter angani, kumbe hofu ni Chadema!Bongo kila mtu ni mwanaintelehensia.
Ngoja nikuambie kitu ambacho huenda hukifahamu...
Huyo ni akirudi home usiku kumbukani kweli yuko sahihi ingawa binafsi naona kwa hali ilivyo na kwa technology ilipofikia ulinzi wa rais na hata watu binafsi umekuwa mgumu sana hasa mikasa kama huu Israel reportedly used a remote-controlled gun to assassinate an Iranian scientist
Usifikri sijui ninachokiandika, kwa hiyo hata kama akihakikishiwa ulinzi na UN kwa hiyo ndio wawe relaxed kiasi hicho kwa rais, ingekuwa ndivyo asingeondoka na timu yake yote ile..Bongo kila mtu ni mwanaintelehensia.
Ngoja nikuambie kitu ambacho huenda hukifahamu...
Huyu kaondoka na mpishi na mpiga brashi viatu..Ni kupoteza hela kwa gharama kubwa kulinda hatari isiyo kuwepo. Zaidi ya wananchi wa Tanzania wanaokandamizwa na utawala uliopo, ambao hata uwezo wa kupanda ndege hawana, nje Samia hana adui. Anacheza mziki kwa midundo yao, hatari itoke wapi?
Royal tour zile helikopita na mabunduki zilikuwa za nini kwa Mama?Muulize zile bunduki mbona hazijaonekana? Magufuli misafara yake mpaka helicopter angani, kumbe hofu ni Chadema!
Narudia tena, aina ya mbwembwe za ulinzi unao oneshwa kwa viongozi wa Tanzania ni kuharibu kodi za wananchi. Ni ulinzi wa kumlinda kurushiwa mayai viza na wananchi waliochishwa.ni kweli yuko sahihi ingawa binafsi naona kwa hali ilivyo na kwa technology ilipofikia ulinzi wa rais na hata watu binafsi umekuwa mgumu sana hasa mikasa kama huu Israel reportedly used a remote-controlled gun to assassinate an Iranian scientist
Njoo huku kwetu Kinondoni uone mavazi ya dada zetu halafu ufananishe na hayo uliyoyaona, utazimia, nakushauri tu mambo ya marekani yaache hukohuko hayakuhusu, mambo ya maadili ni ya nyumbani kwako na watoto wako, basi.Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza Mh. Raisi Mama yetu Samia Suluhu Hassani kufika salama huko marekani.
Pili, nikirudi kwenye kichwa cha habari cha mada hii, jana nilipokuwa mahali nikipata zangu kahawa nilibahatika kuona katika mitandao clip ikitembea ikimuonesha Mh. Rais akilakiwa na kikundi kidogo cha wanawake wasio na maadaili (kuanzia mionekano na mavazi yao) pindi alipokanyaga ardhi ya Marekani...
Nje ya mipaka ya miji, Magufuli hakuwa na maadui. Aliteka akili zao na kujibainisha kuwa ni mtetezi.mbona jamaa yetu yule alipita hivi alikuwa anakula mahindi ya kuchoma hovyo hovyo barabarani na kupewa Majogoo na wazee akiabudiwa na kuenziwa
Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu,kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au sehemu yoyote hapa Nyumbani Tanzania...
Kumbe royal tour bado inaendelea?Royal tour zile helikopita na mabunduki zilikuwa za nini kwa Mama?