Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Achana na mipumbavu, si ilikuwa inasema hao ni maaskari wa Rwanda? Kumbe ni wa Mbweni
 
Yule mwingine hadi Komando John, Komando Kipensi walikua hawakosekani kwenye msafara...bado Wavietnam walikuwepo wa kumwaga.
Ulinzi ulikua unanikumbusha viongozi wa waasi.
 
Ona huyu na huo mbunduki wake
Mlinganisho mzuri ungeweka na lile picha la Magufuli na mabunduki yake akitokea kwenye uwanja wa Nyamagana; akienda kununua karanga za kuchemsha mitaani.

Unajitahidi sana kusafisha yasiyoweza kusafishika.

Itabidi tu wakati fulani ukubali mtu wako alikuwa na ulimbukeni, kama wako ulivyo.
 
Uliona kwa Magufuli ilikuwa ni too much kwa sababu ulikuwa na chuki dhidi yake.

Ukiyaona kwa Rais Samia utaona ni poa tu, kwa sababu labda bado hujaanza kumchukia.

Chuki hughubika akili.
 
Uyu mama aongezewe ulinzi, sina imani kabisa na wasukuma, siunaona uyu msukuma tayari ameshaanza kuhoji ulinzi wa Rais wetu, ana jambo Huyu na kundi lake
 
Uliona kwa Magufuli ilikuwa ni too much kwa sababu ulikuwa na chuki dhidi yake.

Ukiyaona kwa Rais Samia utaona ni poa tu, kwa sababu labda bado hujaanza kumchukia.

Chuki hughubika akili.
mtaweuka mwaka huu watani zangu wasukuma, mkubari tu zama zenu zishaisha, Sikh ya j4 Dotto jems nae byebye, nafasi yake anapewa msiedhania
 
Nafikiria waboreshe zaidi Intelligencia ya ndani kuliko huku public. It appears like maadui wapo ndani kuliko huku nje. Haiwezekani Rais anaondoka/lewa kirahisi vile
Unaambiwa "sniper" yupo umbali wa zaidi ya mita elfu tano anatungua mtu kirahisi.

Hayo mabunduki ya kutishia wauza mihogo mitaani tu, sio maadui waliopania kumwondoa mtu.

Kwanza 'drone' moja tu linasambaratisha mabunduki yote.
 
nashauri tujadili mambo mengine mazito zaidi...........suala hili la ulinzi limeshasemwa kuwa si jukumu la raisi kupanga! isitoshe, kwangu mimi, si sifa raisi kuwa na ulinzi legelege; hakuna kiongozi mkuu anaekosa maadui abadan!!!!
 
Humu wamejaa watu wenye mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…