MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
- Thread starter
- #21
Hatari sana
Nitaji book myself mirembe mkuu, relax maana usalama wa watawala wako ni muhimu kuliko usalama wakoHata siku elewi,....hivi KWANZA umepimwa akili wewe kweli au umelogwa?
Kama wao wasipokua salama sisi pia hatuwezi kuwa salama and the vice versa.Nitaji book myself mirembe mkuu, relax maana usalama wa watawala wako ni muhimu kuliko usalama wako
OkTulishakataza uzi bila picha mkuu
Nitawapigia picha za sehemu ambazo zinaongoza kwà makelele hapa kijijini ChamwinoTulishakataza uzi bila picha mkuu
Tatizo ni kwamba wahusika wapo bize kudukua mawssiliano ya Wananchi huku wakiacha goli waziNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.
Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.
Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!
I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.
Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.
Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."
#DarubinKali
Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Kwa hiyo pale Ikulu ya magogoni Dar ambako kumezungukwa na kila aina ya kelele kuanzia magari, malaya, wavuvi, soko, stand, kivuko kwa miaka yote, ni lini usalama ulipotea?Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.
Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.
Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!
I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.
Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.
Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."
#DarubinKali
Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Nafikiri nitahama soon. Koz kijiji kishakua na mambo ya kiswahili sana. WASENGEnyaji kama nyie mmejaa huku kibao!!!Acha ushamba ukiona kero si uhame
Wasiojulikana ndiyo hupatia taarifa humoI thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.
Hakuna kitu ... Huku kuna mambo ya hovyo sana sijapata kuona. Huku watu wakifika wanashindwa kufanya kilichowaleta, wanaanza kufanya mambo mengine. Bure kabisa!Tatizo ni kwamba wahusika wapo bize kudukua mawssiliano ya Wananchi huku wakiacha goli wazi
Mazingira ya huko ni tofauti kabisa na huku.Kwa hiyo pale Ikulu ya magogoni Dar ambako kumezungukwa na kila aina ya kelele kuanzia magari, malaya, wavuvi, soko, stand, kivuko kwa miaka yote, ni lini usalama ulipotea?
They should not tempt the devil to tempt themWasiojulikana ndiyo hupatia taarifa humo
Wahusika watambue kwamba hata kama tunawapinga na kuwabhruza wapangaji wa Ikulu yetu. Lakini eneo la Ikulu ni taswira ya nchi.Hakuna kitu ... Huku kuna mambo ya hovyo sana sijapata kuona. Huku watu wakifika wanashindwa kufanya kilichowaleta, wanaanza kufanya mambo mengine. Bure kabisa!
Jamaa mmoja kwenye comment yake huko juu anaifananisha Ikulu ya Magogoni na ya Chamwino...., Anasahau ya kwamba...hii ya huku Chamwino...kuna watu Wana nyumba zao...familia zao....na wanapotoka mihangaikoni wanahitaji kupumzika, na sio kuendelea kupigiwa mikelele.Wahusika watambue kwamba hata kama tunawapinga na kuwabhruza wapangaji wa Ikulu yetu. Lakini eneo la Ikulu ni taswira ya nchi.
Paheshimiwe
Palindwe
ikulu imewakuta. walipeni wahame. Mbona Mkapa aliwahamisha vijiji kadhaa ili UDOM ijengwe? Mnashiundwa nini?
Watu kufanya shughuli zenye kuondoa utulivu karibu na eneo la Ikulu ni kama mkakati wa muda mrefu wa projects za wanaoutekeleza mkakati huo.....Jamaa mmoja kwenye comment yake huko juu anaifananisha Ikulu ya Magogoni na ya Chamwino...., Anasahau ya kwamba...hii ya huku Chamwino...kuna watu Wana nyumba zao...familia zao....na wanapotoka mihangaikoni wanahitaji kupumzika, na sio kuendelea kupigiwa mikelele.
Lakini pia, kuwa na uhakika wa Usalama wa familia zao kwamaana ya,..kuwaona watoto wao wakikua katika mazingira mazuri.
Kama sivyo..basi jamaa wakae chini...waipange Chamwino vizuri...waweke utaratibu mzuri ili hata tulio na familia zetu tusiwe na wasiwasi wa kuporoka kwà maadili ya watoto wetu.Hayo ni matumizi mabaya sana ya pesa za walipakodi.
Nina kibanda changu hapo karibu na ikulu {KWA TUMBO} nasubiri mtu aingie kichwa kichwa nipasukume....maana hata sisi raia hatupendi kufuatiliwa...tukiamua SINGELI NI SINGELINawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!