Ulinzi na usalama: Chamwino Ikulu, Dodoma

Ulinzi na usalama: Chamwino Ikulu, Dodoma

Hivi wewe, Unaijua ofisi ya RAIS iko wapi? Unaijua Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa IDARA ya Usalama wa Taifa iko wapi? KWANZA Umepimwa akili? Au umelogwa?
Siwezi kukushangaa maana wewe ni mTanzania, hua mnaishia kutukana na kukosa uhalisia wa unacho kisema
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.

Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.

Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!

I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.

Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.

Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."


#DarubinKali

Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Kwani kusali nako siku hizi ni kelele! Mbona Dar tunasali usiku kucha mpaka mashetani ya ukoo na bibi zenu yanakimbia.
 
Union Building ni Africa mkuu, ninaingia ndani ya state house ile na kukaa chini na kusikiliza mziki wa sikinde!hamna anayenifuata na kuniuliza chochote
This is Afrika, na ya waafrika ni ya kipekee na ajabu.TANZANIA TUNAFICHA KILA KITU.
 
Hivi kumbe UDOM imejengwa na MKAPA? Kweli WATANZANIA wengi ni vilaza

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
wewe ndiye kilaza hujui history ya ujenzi wa UDOM. Kamuulize jk atakwambia namna alivyoridhi project. Au pengine enzi hizo ulikuwa bado unasoma chekechea.
 
Back
Top Bottom