Ulinzi na usalama: Chamwino Ikulu, Dodoma

Watu kufanya shughuli zenye kuondoa utulivu karibu na eneo la Ikulu ni kama mkakati wa muda mrefu wa projects za wanaoutekeleza mkakati huo.....
Nafikiri they must think outside the box.... Leo hii mtu anaweza kuja kuishi hapa kijijini....na hata kwà mwenyeketi wa Mtaa hapajui. Na hata mwenyeketi mwenyewe hamjui. Watu wanaishi kwà kuogopana , wanashindwa kufanya majukumu yao.
 
Nina kibanda changu hapo karibu na ikulu {KWA TUMBO} nasubiri mtu aingie kichwa kichwa nipasukume....maana hata sisi raia hatupendi kufuatiliwa...tukiamua SINGELI NI SINGELI
Usipasukume Ndugu. Huku sasa hivi fasheni ni kujenga flemu na kufungua bar , na kisha kuweka mispeaker nje na kupiga mziki mkubwa bila kujali wanaokuzunguka.

Hakuna anayefatilia watu huku sema nini...hao wanaojifanya watumishi wa IKULU....wanapenda sana waonwe kama wanyama wa Serengeti.

I mean, hawa raia wawaone kama wazungu hivi...au kama wanyama pori....wawe wanawashangaa...full kujishow
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.

Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.

Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!

I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.

Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.

Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."

#DarubinKali

Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Sasa kutoka hapo geti la nyuma hapo keep left Kuna umbali gani mpaka kufikia jengo la ndani kabisa kule anakokaa Rais na mamlaka? Mi sioni shida maana pia Ikulu ni ya wananchi, pia swala la Chamwino inakua kwa kasi s maana nimepita hapo nikielekea kazi za field huko Dabalo mwezi mzima kila siku nilikua napita pita hapo, hayo maendeleo sijui ni yapi
 
Umeongea kweli tupu....nawajua baadhi hao ndugu hata vijiwe vyetu vya K-VANT majina yetu yametamalaki kwenye vidaftari huko....na mwisho wa mwezi ndio huu.
 
State house ni office sip makazi ya no 1,ukienda pale white house USA, unaweza kupiga picha bila matatizo, Union Building unaingia na kupiga picha mbele ya sanamu kubwa ya the only Africa ICON, Leo hii siwezi punga upepo mbele ya State house pale magogoni, siwezi tembea maeneo yale after 1800!!,uoga wa kizuzu, huku lingusenguse sijawahi ona hata police aki patrol!,politicians wetu sijui wamewamezesha uzuzu gani middle class wetu,mpaka wanaogopa vivuli vyao
shida sana ukienda marekani raia wa nje ya marekani anaweza kuwa hata mwanajeshi hapa bongo haiwezekani utasikia sijui mamluku sijui watakua wametumwa mara majasusi hao

uoga wa kindezi wakati nchi yenyewe haina hata la kuandwamwa
 
Sasa kutoka hapo geti la nyuma hapo keep left Kuna umbali gani mpaka kufikia jengo la ndani kabisa kule anakokaa Rais na mamlaka? Mi sioni shida maana pia Ikulu ni ya wananchi, pia swala la Chamwino inakua kwa kasi s maana nimepita hapo nikielekea kazi za field huko Dabalo mwezi mzima kila siku nilikua napita pita hapo, hayo maendeleo sijui ni yapi
Hivi wewe, Unaijua ofisi ya RAIS iko wapi? Unaijua Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa IDARA ya Usalama wa Taifa iko wapi? KWANZA Umepimwa akili? Au umelogwa?
 
Umeongea kweli tupu....nawajua baadhi hao ndugu hata vijiwe vyetu vya K-VANT majina yetu yametamalaki kwenye vidaftari huko....na mwisho wa mwezi ndio huu.
Hahahahaha umenisanua....kumbe zile tambo za kukaa kila siku kwenye bar huwa wanaandikwa kwenye daftari?...afu utakuta jitu ukipita barabarani pembezoni mwa bar utasikia linacheka kwa sauti kubwa ...HAHAHHAHAHAAHAHHAHHAAHAHAHAAHAHHA....kumbe likimaliza linaandikwa kwenye daftari!!!!
 
shida sana ukienda marekani raia wa nje ya marekani anaweza kuwa hata mwanajeshi hapa bongo haiwezekani utasikia sijui mamluku sijui watakua wametumwa mara majasusi hao

uoga wa kindezi wakati nchi yenyewe haina hata la kuandwamwa
Toeni mfano wa Bongo au Afrika , nitawaelewa vizuri.
 
UDOM ilijengwa lini mkuu!?
mradi ulianza wakati wa mkapa, jk akaurithi mkapa akiwa ameshahamisha vijiji vyote eneo lile na kuweka master plan, barabara na karibia foundations za baadhi ya majengo. au unadhani jk ndiye alianza?

inawezekana hujui kuwa ni mkapa kwa sababu mkapa hakuwa bwana misifa. alikuwa na desturi ya kufanya mambo kimyakimya
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.

Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.

Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!

I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.

Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.

Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."

#DarubinKali

Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Halo
 
Back
Top Bottom