Ulinzi na usalama: Chamwino Ikulu, Dodoma

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.

Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.

Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!

I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.

Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.

Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."

#DarubinKali

Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
 
ikulu imewakuta. walipeni wahame. Mbona Mkapa aliwahamisha vijiji kadhaa ili UDOM ijengwe? Mnashindwa nini?
 
ikulu imewakuta. walipeni wahame. Mbona Mkapa aliwahamisha vijiji kadhaa ili UDOM ijengwe? Mnashiundwa nini?
Issue sio wazawa. Issue ni hao wakuja. Tena wengine ni watumishi kabisa. Nafikiri wanafanya Kazi kwà kuogopana.

Maana huku kuna mpaka magari mengine utakuta yameandikwa "INA MAELEKEZO" ...meaning huwezi kulikamata kwasababu ni la mtu fulani aliyeko Idarani au Kitengoni.

So hata kwà haya mambo yanayoendelea hapa , ni hao hao watu wanaojifanya wametoka mjini...wanayaanzisha wao kwà lengo la kuuchangamsha mji bila kujali athari za mbele.
 
Kuna kitu huwa najiuliza halafu sipati jibu, kwahiyo makelele na mavitu ya hovyo si rukhsa kwa baadhi ya maeneo ya watu ila ni ruksa kwa wengine? Yaani mfano mamiziki manene na makasino huko yanapowekwa na kuonekana ndiyo panafaa je hakuna wanayokerekwa kwayo? Jibu ni wapo ila wanashindwa kuzuia vitu hivyo, je na nani awatetee?
 
Pole sana mzee kipusa, hakuna kitu kibaya kama watu kuishi bila utaratibu.
Nikicheck kwenye darubin yangu, pia nikalinganisha na kile nilichokiona Bangui, CAR (wakati wa kundi la SELEKA lililokua likichoma nyama za watu na kuzila/ Jamii ya Boko Haram)

Au nikiihamisha darubin tena, nikalinganisha na kile nilichokiona pale KIBITI....(mpaka polisi wakataka kuondolewa ili wawapishe wanajeshi wafanye Kazi yao)

Naona...kwà kuwa watumishi wengi wa IKULU wanaishi nje ya IKULU, na hata walio ndani na wao pia hupenda kutoka nje kula good time...(kushare midemu iliyojaa miyutiai sugu mixer migonjwa ya zinaa)

Adui akitokea....wanaweza kuwa initiated via those intertainments ( drugs, alcohol, foods) na IKULU ikajikuta iko matatani na wasijue namna ya kujikabili.

Pale KIBITI polisi walitaka kufail kuwapiga maadui kwasababu walikua wanajichanganya nao mtaani...wanashare the same foods, drinks etc...ikawa ngumu sana mpaka pale walipoanza kupikiwa vyakula vyao wenyewe...ndo akili zikawarudia.(Ndipo wakaweza kumuondoa adui kwà mbaaaaaaaaalliiiiiiiiiiii)

Hapa Ikulu , najua Wanamtindo wa kubadilisha watu wao mara kwà mara...but this is not a genuine solution. They must think beyond that!!!
 
State house ni office sip makazi ya no 1,ukienda pale white house USA, unaweza kupiga picha bila matatizo, Union Building unaingia na kupiga picha mbele ya sanamu kubwa ya the only Africa ICON, Leo hii siwezi punga upepo mbele ya State house pale magogoni, siwezi tembea maeneo yale after 1800!!,uoga wa kizuzu, huku lingusenguse sijawahi ona hata police aki patrol!,politicians wetu sijui wamewamezesha uzuzu gani middle class wetu,mpaka wanaogopa vivuli vyao
 
Issue sio wazawa. Issue ni hao wakuja. Tena wengine ni watumishi kabisa. Nafikiri wanafanya Kazi kwà kuogopana.

Maana huku kuna mpaka magari mengine utakuta yameandikwa "INA MAELEKEZO" ...meaning huwezi kulikamata kwasababu ni la mtu fulani aliyeko Idarani au Kitengoni.

So hata kwà haya mambo yanayoendelea hapa , ni hao hao watu wanaojifanya wametoka mjini...wanayaanzisha wao kwà lengo la kuuchangamsha mji bila kujali athari za mbele.
Hilo neno INA MAELEKEZO linaandikw kwenye plate number...
 
State house ni office sip makazi ya no 1,ukienda pale white house USA, unaweza kupiga picha bila matatizo, Union Building unaingia na kupiga picha mbele ya sanamu kubwa ya the only Africa ICON, Leo hii siwezi punga upepo mbele ya State house pale magogoni, siwezi tembea maeneo yale after 1800!!,uoga wa kizuzu, huku lingusenguse sijawahi ona hata police aki patrol!,politicians wetu sijui wamewamezesha uzuzu gani middle class wetu,mpaka wanaogopa vivuli vyao
Hapa sio Marekani Bro. Hii ni Africa Bob.

Muafrika hawezi kwenda USA kwà lengo la kuiharibu. But mtu kutoka USA anaweza kuja Afrika kuiharibu.

And as the matter of facts...wale watu wa huko Yues wanaouwezo wakuturubuni via madafu yao na tukaweza kuisaliti Nchi vizuri...why ... kutokana na Uongozi wa hovyohovyo. Watu wengi washachoka sana , KWANZA maisha magumu...michongo haieleweki...wanaokula keki ya Taifa ni wachache na wanaila huku wakitudharau.
 
Kuna kitu huwa najiuliza halafu sipati jibu, kwahiyo makelele na mavitu ya hovyo si rukhsa kwa baadhi ya maeneo ya watu ila ni ruksa kwa wengine? Yaani mfano mamiziki manene na makasino huko yanapowekwa na kuonekana ndiyo panafaa je hakuna wanayokerekwa kwayo? Jibu ni wapo ila wanashindwa kuzuia vitu hivyo, je na nani awatetee?
Inategemea na Uongozi wa eneo husika upoje. Mfano....USHOGA uliopo Dar, sio kama wa huku Dodoma...why ...kulingana na mazingira+ Uongozi. Lakini ukienda katavi au Kigoma...huwezi kukuta mashoga.

Kwahiyo mazingira yanaweza kuharibika endapo Uongozi wa eneo husika utaacha watu waishi wanavyotaka.

Note: Hapa ndipo ilipo IKULU ya Nchi...kuruhusu mambo ya ajabu ajabu...haifai hata kidogo. Wakati nafika hapa... ustaarabu ulikua mwingi sana....eneo lilikua tulivu sana. Watu walikua wanafanya starehe zao kistaarabu...., But now mdogomdogo wanataka kuifanya kama manzese uwanja wa fisi.
 
Hapa sio Marekani Bro. Hii ni Africa Bob.

Muafrika hawezi kwenda USA kwà lengo la kuiharibu. But mtu kutoka USA anaweza kuja Afrika kuiharibu.

And as the matter of facts...wale watu wa huko Yues wanaouwezo wakuturubuni via madafu yao na tukaweza kuisaliti Nchi vizuri...why ... kutokana na Uongozi wa hovyohovyo. Watu wengi washachoka sana , KWANZA maisha magumu...michongo haieleweki...wanaokula keki ya Taifa ni wachache na wanaila huku wakitudharau.
Union Building ni Africa mkuu, ninaingia ndani ya state house ile na kukaa chini na kusikiliza mziki wa sikinde!hamna anayenifuata na kuniuliza chochote
 
Hata siku elewi,....hivi KWANZA umepimwa akili wewe kweli au umelogwa?
 
Back
Top Bottom