Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Huyo nae anatafuta kiki nani ana shida nae hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali.
 
Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa ajili ya Dk. Tulia iliongezeka hadi watano idadi ambayo ni kubwa kuliko awali.

Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.. Nukuu jambo leo.

Suali_wale waliohoji sababu ya ulinzi wako sahihi..!?

Karibu mdau.!
Nakumbuka wakati ule Zitto Kabwe anabomoa Chadema aliongezewa Ulinzi usio onekana
 
Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa ajili ya Dk. Tulia iliongezeka hadi watano idadi ambayo ni kubwa kuliko awali.

Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.. Nukuu jambo leo.

Suali_wale waliohoji sababu ya ulinzi wako sahihi..!?

Karibu mdau.!
kama anatenda haki bungeni kwanini anaweweseka kiasi hicho
 
Hata akipewa brigade nzima hawezi pata amani. Amani ya kweli hutoka moyoni. Na hupatikana kutokana na matendo yako mema kwa jamii inayokuzunguka. Ajirudi tu ili apate amani ya kweli. Afanye kazi kwa weledi na kanuni bila kuongozwa na maagizo kutoka juu.
Kabbisa ndugu bwana asipoulinda mji wakeshao wakesha bure so hata apewe jeshi zima bado halitamtosha kama aliye juu anamwona.
 
Asingehitaji ulinzi kama angekuwa anatenda haki kwa Wabunge wa upinzani Bungeni badala ya kutumika kwa kutumia remote control toka Ikulu. Gharama za kumlinda huyu za kila siku zinatoka fungu lipi!?
 
Ameshaingiwa na hofu
Amekosa amani ya moyo huyo binti,siasa haitaki kupaniki bali inataka ngozi ngumu
 
Chadema........., Geita........, pale Dodoma gari ajali ileeee, kwa ufupi chadema ni wazoefu. Maana hata juzi tumeshuhudia chadema wakiungana na kushirikiana na yule mhalifu aliyemtusi rais na yeye mwenyewe kukiri na hatimaye kuhukumiwa na mahakama. Ila I hope siku zao zinahesabika maana mbinu zao zinazidi kujidhihirisha kila kukicha!! Ila kwenye maandamano sasa serikali imewadhibiti, maana nako walikuwa wanahadaa wananchi ili akiuawa mwananchi wanasema demokrasia imeminywa, ila kwa sasa wamebinywa mbinyo wa mjusi mlangoni.
Ndo umeandika nini sasa bibie.
 
Atakufa yeye, maana sasa kinchofanya kazi ktk anga la Tz siyo uchawi, bali Mungu karuhusu nguvu zake zitumike kuliongoza taifa.
Kwahiyo mungu ndo anawaongoza majambaz ya ccm kuwaibia wananchi na kuminya democracy?
 
Dah ama kweli watanzania waliowengi wamerogwa.Inakuaje mtu anachukiwa ghafla kisa anatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia sheria na kanuni halali?Kuhusu ulinzi mzito mbona inasemekana hata Mh Magufuli enzi hizo aliongezewa ulinzi tofauti na mawaziri wenzake?Sasa naamini waliom-sort Magufuli ndio haohao waliomleta Dr Tulia na wanajua thamani ya "MADINI" aliyonayo kichwani sio mi degree tu.Tukiacha unafki kwa sasa hapa nchini HAKUNA MTU ANAYEIJALI TANZANIA NA WATANZANIA KULIKO RAIS WA TANZANIA ambaye ni Mh Dr JPM.
 
Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa ajili ya Dk. Tulia iliongezeka hadi watano idadi ambayo ni kubwa kuliko awali.

Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.. Nukuu jambo leo.

Suali_wale waliohoji sababu ya ulinzi wako sahihi..!?

Karibu mdau.!
Ndo dhana ya kubana matumizi hii? Nahisi kama najishangaha mwenyewe...
 
Bibilia Inasema, Waovu wanakimbia ilihali hakuna anayewafukuza! Matendo mabaya yanawajengea waovu hufu kuu. Kama Mungu akiamua Unyanyuke utanyanyuka tu hata ungekuwa na walinzi milioni.
 
Back
Top Bottom