Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Thank you niah. Nilipata hamasa ya kuuliza hivi baada ya kuisoma comment nikaona kama issue ya kuhitimu mafunzo imekaa ki NS kwa maana ile nloisema mwanzo. Kumbe ni mafunzo ya Unaibu-Spika tehe teh teh. Kwa kweli reading doesn't necessarily mean comprehending.
Ndo maana wanafunzi wengi wanashindwa kwenye comprehensive questions sababu wanaona simple.
 
kiongozi anapoanza kuwaogopa anaowaongoza ujue keshalikoroga na limemshinda kulinywa.
 
Kwani bunge limekuwa na hofu kiasi hicho?
Tanzania si kisiwa cha amani tena?
 
Yule jamaa aliyejibu swali bungeni huku akiwa bwiii/tilalila mlisema hivi hivi, alipotumbuliwa mkakimbia humu wootee...wanaohangaika sasa kumtetea (ingawa maji yameshamwagwa) ni madiwani wake...
Mkuu kwa Tulia sahau...
 
Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa ajili ya Dk. Tulia iliongezeka hadi watano idadi ambayo ni kubwa kuliko awali.

Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.. Nukuu jambo leo.

Suali_wale waliohoji sababu ya ulinzi wako sahihi..!?

Karibu mdau.!
Mbona dr omary juma alikufa licha ya kuwa na ulinzi mkali? Huyu binti kwa kukosa busara ana maisha mafupi sana
 
Ndio watawala wetu hao.Viongozi wa watu wanawahofia watu na sio M/Mungu.
 
ukifanya ushetani lazima uishi kama shetani NS anajikana nafsi hofu ya nini kisichana kidogo roho ya korosho atalijuwa jiji la Dodoma kama alikuwa hajui
 
Hivi yule mbunge aliyeonekana bungeni akitanya kitu kama unga ilikuwa ni ushirikiana au shambulio la kikemikali?
umenifurahisha mno,eti unga umemwaga kwenye viti.? tz sjui tunasubiri nini kuingia kwny Guinness book of world records.
 
Hivi yule mbunge aliyeonekana bungeni akitanya kitu kama unga ilikuwa ni ushirikiana au shambulio la kikemikali?
umenifurahisha mno,eti unga umemwaga kwenye viti.? tz sjui tunasubiri nini kuingia kwny Guinness book of world records.
 
Ukiona nyumba imewekewa ukuta mrefu kuizidi, juwa kwamba ndani kuna mali ya wizi.
 
Wahalifu doe huwa wana mashaka na usalama wao hata kama hakuna anayewatafuta. Mhalifu kabla ya kuhukumiwa na watu wengine, kwanza huhukumiwa na dhamira yake mwenyewe.
 
Leo katika kipindi cha magazetini Star TV nimesikia serikali imemuongezea ulinzi naibu spika hadi kufikia walinzi watano!

Kuna hatari gani dhidi yake?

Wanachezea kodi zetu tu ,Tanzania hatuna umafia wa hivyo..Siku tutafikia hapo watamlindaje ?Maigizo tu ili ionekane anasimamia ukweli
 
Kuongezea ulinzi NS inawakwaza nini? Kwani nyie mlitaka kufanya nini mpaka ulinzi ukiongezwa kiwakwaze?

Mnachezea kodi zetu kihuni tu bila sababu za msingi .Pana viashiria vyovyote vya yeye kudhuriwa au ni mizuk yenu tu ?
 
Back
Top Bottom