SEHEMU YA 17
Niligonga kwa sekunde kadhaa, mlango ukafunguliwa, macho yangu yakagongana na macho ya Christopher, alishtuka sana na kutaka kufunga mlango ila nikauzuia na kumsukumia ndani.
Macho yangu yakatua kwa Juliet, alikuwa mtupu kitandani, aliponiona, alishtuka mno, akajifunika shuka. Hata kabla Christopher hajafanya kitu chochote, nikatoa bastola na kumnyooshea.
“Naomba unisamehe Steven..naomba unisamehe rafiki yangu,” aliniambia Christopher huku akipiga magoti.
“Nisamehe mume wangu,” aliniambia Juliet.
Nikabaki kimya, machozi yalikuwa yakinitoka, hasira zikanipanda, nikauma meno kwa hasira. Nikajisikia kuuaua tu wakati huo. Nikachukua simu yangu na kuwapiga picha mfululizo pale kitandani.
“Nitawasamehe? Naanzaje kuwasamehe? Yaani wewe Chriss ni rafiki yangu wa damu, ulikuwa bestman wangu kwenye harusi yangu, halafu nikusamehe! Nikusamehe kutembea na mke wangu?” niliuliza huku nikionekana kuwa na hasira mno.
“Nisamehe mume wangu....naomba unisamehe...” aliniambia mke wangu Juliet huku akitembea kwa magoti kunifuata, aliponikaribia nikampiga teke moja kali la mbavuni, akaangukia pembeni na kuanza kulia kama mtoto mdogo.
“Wewe malaya hebu nyamaza! Nikisikia unalia, nitakachoacha humu ndani ni ubongo wako kumwagika sakafuni,” nilimwambia Juliet kwa hasira, na kwa jinsi nilivyoonekana muda huo, alijua kabisa nilimaanisha kile nilichokisema.
Christopher hakuzungumza kitu, alikuwa kimya huku akiwa amepiga magoti.
Alinijua ninapokuwa na hasira nakuwaje, ninaweza kufanya jambo lolote lile bila kujali chochote. Kwa jinsi nilivyomuona, alijua kabisa muda wowote ule ningebonyeza kitufe cha bastola na kuwamaliza wote wawili.
“Christopher ni lazima uigize filamu ya ngono na mimi, Juliet utakuwa mpiga picha wetu, tukimaliza, picha nazipeleka magazetini na mitandaoni,” niliwaambia na kufunga mlango, ufunguo nikauweka mfukoni, nikatoa simu yangu na kuwasha kamera.
“Mkikataa, nawaua wote,” niliwaambia huku nikionekana kuwa na hasira.
Huo ndiyo uamuzi ambao niliamua kuuchukua, Christopher aliona raha kutembea na mke wangu, na mimi nilihitaji kumuonyeshea ni madhara gani yanatokea unapokamatwa na huyo mke wa mtu.
BalaaaaaawwHahhahaha nigeuke mtihani mkubwa sana huo
Hahaa, kazi na dawa Binti..Hahahhah
We mzee toka lini na story ujue unanishangaza
Pia kichwa cha habari kilinivutia,maana kuna mwanamke nilo mpenda saana dumped me into another man..Hahahhah
We mzee toka lini na story ujue unanishangaza
Pia kichwa cha habari kilinivutia,maana kuna mwanamke nilo mpenda saana dumped me into another man..
Ndo maana nkavutiwa kufungua uzi, but nkajikuta nmesoma mwanzo mwsho
Ndio nasubiri thatha nijue nn kinaendelea..!SEHEMU YA 19
Huyu Upendo alikuwa balaa, aliumbika sana na siku hiyo sikuwa na cha kufanya zaidi ya kulala naye mpaka asubuhi huku nikikata kiu yake ipasavyo.
“Mmmh! Kwa staili hii, kama wifi atakuwa anakusaliti, nitamuona mpuuzi, wanaume kama nyie adimu sana,” aliniambia Upendo.
Hakuwa akijua kile kilichokuwa kikiendelea maishani mwangu, pamoja na utaalamu wangu wote huo lakini mke wangu alikuwa amenisaliti. Nilizungumza sana na Upendo usiku huo.
Kesho asubuhi, akajiandaa na kwenda kwake na kuahidi kwamba angeweza kuwahi ofisini.
Kuanzia siku hiyo, nikawa nikitoka na Upendo, mke wangu hakuwepo nyumbani hivyo sikuwa na wasiwasi hata kidogo.
Mfanyakazi wa ndani ndiye aliyekuwa akikaa na mtoto huku akimpeleka shuleni kila siku alizokuwa akihitajika kwenda huko.
Baada ya wiki moja kupita, nikapigiwa simu na wakwe zangu na kuniambia kwamba nilitakiwa kwenda kuwaona Morogoro.
Sikutaka kuuchuna, kwa kuwa bado Juliet alikuwa mke wangu na sikuwa nimempa talaka, nikaelekea huko.
Nilichukua masaa kadhaa mpaka kufika Mvomero ambapo nikaelekea mpaka nyumbani kwa kina Juliet.
Nahisi siku hiyo walikuwa wamejiandaa, ndugu wengi kama wajomba, shangazi, na ndugu wengine walikuwa wamekusanyika mahali hapo.
Dizaini walikuwa wamejazwa uongo na Juliet, mtu ambaye kila nilipokuwa nikimwangalia mahali hapo, alikuwa akiangalia chini kwa aibu.
“Wakizingua, nawalipua, video si ninayo hapa,” nilijisemea huku nikiitoa simu yangu kabisa.
“Umemfanya nini mtoto wetu? Mbona umekuwa ukimnyanyasa kila siku na kumliza sana?” alisema mama yake ambaye kila siku alikuwa mwanamke mtata sana, bi Lilian.
“Umemfanya nini mwenzako? Yaani unasahau toka siku ya kwanza ulipokuja kwa heshima zote mahali hapa na kuomba umuoe, leo hii umediriki kumtesa mtoto wetu,” baba yake aliniambia, kama alivyokuwa mama yake, hata baba yake alikuwa mkali.
*
*
*
*
Je, nini kitaendelea?