Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

[FONT=Arial, Helvetica, san-serif]Wadau nina HUMAX 2020. Nimefungiwa na fundi mmoja na inapata AD Sports zote safi. Fundi huyu hayupo tayari kuniwezesha kupata card ya Aljazeera Sport na vile vile kunijuza ni vipi naweza kurenew ad sports subscription. Tafadhali nisaidie.[/FONT]
 
kaka uliinunua wapi hiyo ki2? Fuata link hii jsc-cards.comorder/ utaona sehemu ya kurenew AD Sport card. Aidha nakushauri uctafute card ya aljazeera kwa kuanzia mwakan huenda wakawa na decoda zao ambazo zitakuwa na kadi zake.
 
Hivi Receiver za Strong SRT 4922 zinapatikana wapi kwa maeneo ya Dar?

Dar yote genuine strong zinapatika kwa mposo na ni kwa model 4930 na 4940 tu. Ukivuta subiri baada ya wiki mbili nitakuwa nazo 10pcs genuine copied of 4922A ambazo nitakuwa nimesha weka patch software kuhakikisha mteja wangu anaona kile anataka. Bei itakuwa ya kiJF zaidi(namaanisha). Kwa srt4922A tunaweza kuona utajiri tulionao kwenye ulimwengu wa FTA. Idumu JF na FTA.
 
Kwa Dar nitakupataje vipi bei ya zile SRT4930 ikoje.
 
Thanx arselona mada imenifundisha v2 vng sana kuhusu fta, receiver na dish. Hyo elementary knwledge inanitosha ctaki kuwa fundi wa receiver.
 
kaka uliinunua wapi hiyo ki2? Fuata link hii jsc-cards.comorder/ utaona sehemu ya kurenew AD Sport card. Aidha nakushauri uctafute card ya aljazeera kwa kuanzia mwakan huenda wakawa na decoda zao ambazo zitakuwa na kadi zake.

Ahsante kaka. Hii nimeinunua Mwanza. Nami nipo Mwanza
 
natafuta hizi patch za strong zinapatikana wapi?

Sina uhakika kama sheria za jf zinaniruhuu kutoa patch websites zozote ila ngoja nijilipue. wakinibani naomba mniombee msamaha kwa moderator.http://www.wizkid.persianging.com

ONYO:
SIHUSIKI NA UHARIBIFU WOWOTE UTAKAOTOKEA KWENYE KIFAA CHA MTU YEYOTE AMBAYE KWA RIDHAA YAKE ATATUMIA PATCHES ZILIZOPO KWENYE TOVUTI NILIYOTOA HAPO
 
Jaminimeona madish ya zuku yana
badilishwa muelekeo kwenda ule
mwelekeo kama wa dstv kwasababu gani?
kwaanae jua naomba anipe tetesi
 
Jaminimeona madish ya zuku yana
badilishwa muelekeo kwenda ule
mwelekeo kama wa dstv kwasababu gani?
kwaanae jua naomba anipe tetesi

wameongeza wigo sasa zuku inapatika subsahara tofauti na mwanzo ilikuwa inaishia hapa istiafrika pekee .kuna chanel za hd wameongeza pia
 
kunam2 aliniambia wamefanya vile coz wanatakuongeza channel nyingi zaidi afu wanataka waanzekuonyesha ligi za ulaya ivi karibuni
 
Dar yote genuine strong zinapatika kwa mposo na ni kwa model 4930 na 4940 tu. Ukivuta subiri baada ya wiki mbili nitakuwa nazo 10pcs genuine copied of 4922A ambazo nitakuwa nimesha weka patch software kuhakikisha mteja wangu anaona kile anataka. Bei itakuwa ya kiJF zaidi(namaanisha). Kwa srt4922A tunaweza kuona utajiri tulionao kwenye ulimwengu wa FTA. Idumu JF na FTA.

Mkuu samahani ukishaweka hiyo kitu naweza pata chanel za my tv free?
 
hello Arselona. Naulizia kama hizo srt4922A zimeshafika. Pia namba yako ya simu uliyotoa 0786617671 haipatikani. plz
 
subi samahani nilikosea kuandika namba, tumia hii 0769623283. for sure ntakuwa nazo by j3 wiki ijayo. Samahani kwa usumbufu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samahani ukishaweka hiyo kitu naweza pata chanel za my tv free?

Hapana,mpaka uwe na card ya mytv. Ila kuna njia mbadala ya kupata m**v, a*****ra na d**v free ikiwa tu upo kwenye eneo lenye 3g internet
 
Mtaalam Arselona nimekupata. next week takutafuta Moro. Thanx. Pia naomba kuuliza jinsi ya kupata Ten Sports.
 
Back
Top Bottom