Karibu shem.Asante sana shem lake. Ni wazi kabisa kwamba SAD walihusika kuivuruga serikali ya Libya pia. Natumaini utatuletea uzi maalum siku moja!
kweli nifah umekaa na mumeo kitandan mkatengeneza kitu adimu km hichi.najua una akili nyingi ila mumeo yupo nyuma y pazia.sijui huyo mtoto wenu mkizaa atakuwa na akil kias gani.embu mpe the bold mtoto afu aje hapa atupe nondo
Hahahaaaaa umenichekesha sana ila hapo mwisho umeharibu mkuu.Duuh,ndo hivyo aiseee .wifi yako kesharudi kwao.
Tatizo lililopo ni mimi kwenda call me j,maana nasikia sikuhizi kila mgeni anae kwenda kule anahisiwa kua ni mwandishi wa habari anae saka taarifa za mungu wa dar![]()
![]()
.
Itabidi nionge na mkuu the bold akupe kibali ili unisindikize.

The bold,popote ulipo tambua sina nia ovu na nifah,ni vile nataka tuu uwepo wake katika call me j tour.Hahahaaaaa umenichekesha sana ila hapo mwisho umeharibu mkuu.
Naona unamtafuta ubaya bwana mkubwa![]()
Hebu ongezea minofu mkUuCIA ineteresting story yao ni kifo cha Kennedy
Kennedy aligundua CIA ni kama taifa ndani ya taifa
wanajiamulia mambo mengine wenyewe
akaapa kuivunja...akauawa wiki ile ile aliyoapa kuivunja....
mambo Nifah uko vizuri, ujue nakukubari sana nikona jina lako nakumbuka harakati kule jukwaa la siasa kipindi cha uchaguzi, we ni kati ya wadada wachache sana nashauri nasisi tuanzishe SAD yetu kumuondoa baba j
Shukraan mkuu,dah umenikumbusha mbali sana enzi zile.
Huwezi amini niliharibikiwa na Device niliyokuwa natumia,lakini kwa mapenzi yangu kwa upinzani na wanaharakati wenzangu nilikuwa natumia kisimu hicho,dah!
Hahahaaaaa mkuu huko kwa baba J unagusa pabaya mkuu,wenzetu walijipanga kwa muda mrefu na wana rasilimali za kutosha.
Sisi tukifanya ujinga tu tutapotea,kumbuka ya mwenzetu saa8!
Na alihoji tu....