Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Kumbuka ili wafanikiwe inabidi wananchi nao wawe na akili mbovumbovu ya kuona mabaya2. Na kuponda kila kitu kama mwendawazim Tundu Lissu
 
Unataka kutuambia nini mkuu?
Mwaka 2009 wakati Obama anaapishwa Muhamadu Buhari alikuwa ni kati ya watu wawili walioalikwa kutoka Afrika. Mwaka 2015 Buhari anakuwa rais wa Nigeria. Ulimwengu kiganjani mwa wamarekani. Kwa hisani ya watu wa marekani. Una la ziada mkuu?
 
Nimeshaelewa mkuu,thanks.

Watufanyie hivyo kwa Lowassa basi jamani? Dah!
 
Sidhani kama.maslahi yao hapa TZ yameguswa. Yakiguswa mtaona tu. Mtapingwa sanction kwanza ili raia waichukie serikali then wanakuja na second part....lazima.mkae.
Sisi TISS yenu ipo.kwenye maguvu tu but kwneye nyanja za kiuchumi wako nyuma sana. Wao nadhani wanaona usalama wa nchi ni mipaka tu na wanaomtukana rais. Hawajui uchumi ulio bora ni Usalama namba moja. Kama Electric Power mnategema nchi nyingine kiusalama mnakuwa not SAFE na watu wakiwa masikini then pia hakuna usalama..Na ndio.maana kwa wenzetu hao wanausalama wao hawapo tu kwenye mavita vita hadi uchumi wanaucheki kwa macho 9. Ikitokea hata rais anataka kuharibu uchumi wa nchi then Wanamtoa. Kwao Ni America First....na sio President First kama huku Africa.
 
Duh kweli mkuu uko outdated.
Alihoji kuhusu PhD ya mkulu kama ambavyo sasa hivi watu wanahoji vyeti vya Bashite.

Mmmaa!!!!! kwa kweli nilikuta tu humu watu wanaanza kuulizana yuko wapi saa 8 lakini sikujua chanzo cha kutoweka kumbe ni hicho ulichoandika hapo duuuh kazi ipo
 
Mmmaa!!!!! kwa kweli nilikuta tu humu watu wanaanza kuulizana yuko wapi saa 8 lakini sikujua chanzo cha kutoweka kumbe ni hicho ulichoandika hapo duuuh kazi ipo
Hahahaaaaa ndio hivyo mkuu.
 
Inaonekana mkuu bold kakupika ukapikika mpaka una kwiva, kudos kwako mkuu Nifah
Napikwa sio mchezo,napewa nondo hadi kichwa nakiona kizito.

Hata hivyo nafurahi sana,hakuna habari ninazozipenda kama hizi za intelijensia.
Tena nina maswali kwelikweli,Bold kazi anayo hahahaaaaa

Shukraan mkuu.
 
kwa uzi km huu...sishangai yanayotokes south korea km si mmarekani baada ya Samsung kua namba moja kwenye uuzaji wa bidhaa zake na kuikimbiza vibaya marekani...toleo la 7 cm zilivyokua zinaripuka zenyewe na machafuko ya kisiasa yanayotokea sasa
 
Back
Top Bottom