Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,381
Hakuna kitu tangible alichofanya Nyerere zaidi ya kumaliza akiba ya Taifa lenu kwa kujijengea hishma ya kisiasa kuwa yupo mstari wa mbele katika ukombozi wa Afrika na kuuwa uchumi wenu kabisa.
Nchi alipewa ikiwa na akiba kubwa ya fedha, haikuwa na njaa hata kidogo, uchumi wake ulikuwa mzuri, hakukuwa na ulanguzi wala mwendo wa kuruka na kila kitu kilipatikana madukani. Yeye ndie muasisi wa Rushwa na Ulanguzi huko Tgk.
Humtendei haki mwal hata kidogo mkuu.
Kumwita mwal muasisi wa rushwa? Nchi ndio kwanza ilikuwa changa tena huru watu waliokengeuka hawawezi kukosekana mwal hakuwa mungu kuwadhibiti kama dawa ya mbu wakati wa usiku kwamba inaua mara moja kwa mpigo alijaribu na kukemea kila alipopata nafasi ya kufanya hivyo. Sasa ukimsema mwal kuhusu rushwa huyu kikwete utasema nini.kama rushwa ingekuwa marashi bs kikwete ananukia mwili mzima