MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Hahahaha....we mjukuu mtiifu hatari sana hii;
Hii UMECHEZA VIZURI KAMA FLANI............haina uhusiano wowote na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?............. Sijui naeleweka yailah toba?
Babu hapana kuuliza ulikuwa wapi siku zote haimaanishi kuwa alikuwa anavijua so alikuwa anakusubiria tu siku moja umfanyie bana......... pengine anamaanisha mbona hujjawahinipa raha kama hizi au mbona ulikuwa wadhulumu jamani.........sasa ukisema umecheza vizuri kama Asprin hapo waitafuta kesi na timu ufukuzwe!