Hahahah, wakati nasoma nilikuwa na tabasamu kubwa, nikiwaza mimi sijakumbana na vitu hivyo; lkn nikaja kukumbuka kaiincident kadogo ambapo nilisifia game moja more than 13 yrs ago. The guy asked me, "kwani siku nyingine huwa sio tamu?" Nikashtuka, maana kiukweli huwa ni tamu but l dont know what happened that day hadi nikapagawa vile. Nilimjibu tu siku hazilingani, na akaelewa.
Ila sidhani kuna jipya litakalonishtua hadi nijiulize amejifunzia wapi (umri unahusika), ila namna unayompenda mtu ina nafasi kubwa sana ktk kuridhishana kimapenzi kuliko hata style, this is what l came to learn over time.
Hebu tueleze ni kipi kilikusibu usiku wa jana hadi kufukunyua hii post ya mwaka 47?Ushavurugwa wewe walah
Asee....
Hivi ukipewa kitu si unaondoka nacho? Asee......
Inafurahisha sana aisee...[/QUOT
huwa unafurahia maujuzi mapya na kupiga kimya au wataka kujua kayajulia wapi?
Asee....
Hivi ukipewa kitu si unaondoka nacho? Asee......
Inafurahisha sana aisee...[/QUOT
huwa unafurahia maujuzi mapya na kupiga kimya au wataka kujua kayajulia wapi?
Mkuu na moskwito Mbu, kwa heshima yako nimeona niirudishe hii zilipendwa.... labda kizazi kipya kinaweza kutupa fikra mpya....
NB.... TAHADHARI: kizazi kipya hakina uhusiano wowote na bongo fleva wala bongo movie, wala kata K.
cc: Munkari, Heaven on Earth, ram, snowhite, miss chagga, Madame B, Zinduna, Mentor, Nicas Mtei, Paloma, watu8, Vin Diesel, Excel, cacico, BADILI TABIA, brenda18, kichunafk, KOKUTONA, KakaKiiza et el et el et el.....
BCC: AshaDii, Kaunga, King'asti, Mwali, Kongosho, gfsonwin, Mwali.
Hahahah "M" kakana tuhuma zote, afu kasema ana ushahidi fellow M mwenzake anahusika.
Mpo fyatanga na 'M' mnajadili jinsi gani ya kuepuka kikombe
Na wewe unataka kwenda?