Ulikuwa wapi siku zote?........... ila kwa hili shost alichemka.................unajua Babu kina dada sometimes tunatakiwa tujifanye malaika...........hata ukikissiwa jifanye unashangaa na kujivisha kile kijiaibu cha kike as if ndo umekissiwa kwa mara ya kwanza!! kuna raha yake kumfanya mwanaume ajione yeye ndo yeye kwenye hili tendo! Mwe sasa ukianzajifanya na weye unacompete naye basi lazima uonekane guberi!
Mi nahisi alidhani akimsifia jamaa bichwa litapanda........ ingekuwa ni first date, hapo kingeeleweka. Lakini mtu mna miaka mitano anakufanyia jambo ambalo ye mwenyewe anahisi atakukwaza...amejiandaa kukutaka radhi endapo utakwazika badala yake unamjia na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?....khaa!
Kamanda..............naomba uniazime if you have!Now you are talking MJ....
.... look for a book 'straight talk, no chaser - its brilliant
common views to the 'elites'
ha ha ha, duhhhh Mwj1 umebadilisha toka external service mpaka matangazo ya kifo....kwa wale wenzangu na mie RTD nadhani mtakumbuka External Service ndio tulikuwa tunakauwezo ka kusikiliza Abba, Bee Gees, Diana Ross et al... halafu lazima ilikuwa kusikiliza matangazo ya vifo, maana hatukuwa na mobile fone kama nyie wa kizazi kipya!
Back to topik!
Mwj1 kwa nilivyokusoma ni kana kwamba ni sahihi kwa mwanadada ku fake Oragsm, au?
Kwanini a fake jamani? Mimi namfagilia huyo mdada kulisema hilo la 'ulikuwa wapi siku zote'
Ningelikuwa huyo braza, wallahi hata nisingekwenda jisifia kwa wazee wenzangu...
Kwani kuambiwa hivyo na mwanamke wako ina maana kipindi chote kilichopita Push-ups zote "was equal to Zero!"
ha ha ha hhaaahha!....e bana weeee!!!!
...hapana bana, staili za Mbu kung'ata zipo za aina mbili....
kuna ile ya kimya kimya....wakati usingizi ushamchukua mtu...anapoamka asubuhi anajikuta na mapele..
halafu kuna ile ya ku 'Buzzzzzzzzzzzzz......!' masikioni....ukigeukia kule na 'buzzzzzzz......!' sikio la pili almuradi mpaka ujifunue shuka
nipate kunyonya poenye steki nzuri...
sasa huyu mjukuu wako alivyo damu moto halafu wewe unajidai umejifunika gubi gubi...aaarrrghhhh!
Kamanda..............naomba uniazime if you have!
Eh!?................................................tar 2 mwezi wa saba
Kitu t kinapigiwa promo.
Mbu unataka Babu aniweke kwenye Freezer ili damu yangu iwe baridi......kwani lakini kunichongea namna hii?? Unanipenda kweli weye au ndo unataka kumwonyesha Babu kuwa we ni kidume.........amebaaaana we lakini kwako ameachia?!!
Umeona eh? Utandawizi wa siku hizi...........hivi Mababu, Bibi wetu mbona hawakuwa na hii kitu?? (au walikuwa nayo?!)nawaza sipati jibu?
Will you marry me?
Will you marry me?
take it from me, they were waaaaayyy worse than this generation, in the sexities sex was free and wild
all those brands such as wet and wild, rough rider, kinky lover, nasty nicky etc were blowing horns
Khaaa! acha nisogeze kamera langu la betri za mchina, kuna kila dalili za mnuso wa karibuni. Hivi nilikuwa wapi siku zote?
Hahahhaaaaaaaaaaaaa duh hebu tusijedaiwa fees hapa...........tutakiwe kuilipa JF kwa kutukutanisha (sijui ndo blind date!!) hadi kupata kapo !! hahah
Nice one umenikumbusha siku za ujana wangu!!
Khaaa! acha nisogeze kamera langu la betri za mchina, kuna kila dalili za mnuso wa karibuni. Hivi nilikuwa wapi siku zote?
Will you marry me?
Hahahhaaaaaaaaaaaaa duh hebu tusijedaiwa fees hapa...........tutakiwe kuilipa JF kwa kutukutanisha (sijui ndo blind date!!) hadi kupata kapo !! hahah
Nice one umenikumbusha siku za ujana wangu!!
Hah TF.....nawe waungana na Klorokwini!!..............tutawaweka kwenye kamati ya maandalizi!!this is very romantic.... please MJ say yes