Nimebadilika wapi? Au lugha ilikuwa gongana? Ulitaka nimwage kuku kwenye mchele mwingi?mh na wewe hujui babu uzee unamsumbua? kabadilika katikati ya thread na mimi nikampeleka anakotaka...
Hahahaha...na Chpsi dume kwa Mata pale.......(RIP)ayiiiiiiiiiiii.... kichupa changu hommie
hebu ngoja nikumbukie zile mbio za vijiti pale kwa yule mzee wa kichagga
Chauro kashakua mate....usimkuze zaidiJukwaa la wakubwa hiloooooooooooooo... Chauro mdogo wangu una ufunguo wa kuingia huko kweli?? Babu naona kwaresma iliondoka hadi na filters za grandma!!
Acha woga mamiii!Huko sikanyagi, acha wenye nguvu zao waende bwana mimi bado mtoto mdogo sana kuona.
Yes YOU ARE THE CHAMPION!............... YES YOU ARE!Kumbe i was the only one aliielewa topic...
Ha haa
Ama kweli Changudoa, hapati hasara..........
Ana hasara pale anapotoa huduma na mjamaa kuingia mitini bila malipo
Dada hapati hasara bana........sema inakuwa kapata in kind.
Akipata mteja na malipo anapata faida mara mbili, akikosa malipo anapata faida ya mteja.
Babu huyo aliyemwambia ulikuwa wapi siku zote lazima aliitoa kauli hii akiwa katikati ya mhemko na hakumaanisha kuuliza hivyo labda kama aliliuliza baada ya starehe.......... but stahili yake ilikuwa aseme aksante mpenzi wangu, tena ile ya unyenyekevu na si ya kiafande ile ya aksante huku teyari ashafika mlango wa bafuni!
..............na kwani kwa kuuliza we unapotaka kumpa mwenzi chakula kipya kizuri unaanzaje?
1. Je unampa taarifa kwanza kuwa leo nataka ule chakula hiki?- hapa kama ni mwenzangu na mie naweza kwelijikuta nakwambia ctaki maupuuzi yako/ au umejifunza wapi kwa ukali.
2. Unaanza kwanza kumpa ile starter alozoea ikisha katikati ya mlo unambadilishia na kumpa mlo ulioandaa- hapa hata nguvu za kuuliza sidhani kama zitakuwepo, tafata tu amri, kijiko kamata hivi, ntakamata; uma uweke pembeni, ntatii na kama kutakuwa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote basi lazima itatanguliwa na aksante ikisha itaulizwa kwa nia njema na si kukukatisha tamaa.............nani aopenda mlo mzuri?
Nyie watu, hii mnayojadili hapa inahusiana na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
You have been warned!
Umenikubali eeeee....Khaaaa! We ni mkareeeee!
Si hawa wajukuu wanaichakachua hii yuziful sredi ya babu yao?.....Mzee mwenzangu ulikuwa wapi siku zote?Mbona unakuwa mkali hivyo tena asubuhi subuhi swahiba?
Bado kidogo, ongeza juhudi....lakini chondechonde, usijeangukia pua afu ukaanza kuuliza nilikuwa wapi siku zote...LOLUmenikubali eeeee....
Nani aniangushe babu, khaaaaa... wewe kikongweSi hawa wajukuu wanaichakachua hii yuziful sredi ya babu yao?.....Mzee mwenzangu ulikuwa wapi siku zote?
Bado kidogo, ongeza juhudi....lakini chondechonde, usijeangukia pua afu ukaanza kuuliza nilikuwa wapi siku zote...LOL
Si hawa wajukuu wanaichakachua hii yuziful sredi ya babu yao?.....Mzee mwenzangu ulikuwa wapi siku zote?
Bado kidogo, ongeza juhudi....lakini chondechonde, usijeangukia pua afu ukaanza kuuliza nilikuwa wapi siku zote...LOL
Ni kweli kabisa mzee mwenzangu, ni kweli kwa kuwa; WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGESasa mbona unasahau majuku yako mwenzangu....Babu ni shimo la taka..Unategemea wajukuu watupe wapi mananihi yao?
Nipo ndugu yangu...amang'ana hayajatulia....
Ila nikiulizwa hilo swali lako nitakuwa tu mpole kama alivyosema Maty...sitavimba kichwa kwamba nimetoa dozi ya kutosha kwani inawezekana ni sehemu tu ya sanaa!
haya babuHahahha.......mi simooooo!....muangushanage wenyewe huko, mi niko zangu kitandani na ugoro wangu, na mkongojo wangu.
Nyie watu, hii mnayojadili hapa inahusiana na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
You have been warned!
Kule umegoma kunijibu, ngoja nikuulizie hapa; Mheshimiwa Moskwito.........Hiyo red kwenye siganture yako, hivi mwanajamiione ni liberian girl kumbe?pheewww, umeona eee? mie nilisoma jana nika 'myuti' matokeo yake nimeishia na 'nightmares'
.... eti nakimbizwa Usiku wa manane tangia Haile Selasie Rd mpaka Jolly's Club!
aaaarrrghhh...
Babu huzeeki? lol
Kule umegoma kunijibu, ngoja nikuulizie hapa; Mheshimiwa Moskwito.........Hiyo red kwenye siganture yako, hivi mwanajamiione ni liberian girl kumbe?
"Dear Blood Donor!"😛ray:forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe...":mwaaah::A S-heart-2:
MJ1 - 'Liberian Girl!'
Ni kweli kabisa mzee mwenzangu, ni kweli kwa kuwa; WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE
Nyie watu, hii mnayojadili hapa inahusiana na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
You have been warned!
Kule umegoma kunijibu, ngoja nikuulizie hapa; Mheshimiwa Moskwito.........Hiyo red kwenye siganture yako, hivi mwanajamiione ni liberian girl kumbe?
"Dear Blood Donor!"😛ray:forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe..."
MJ1 - 'Liberian Girl!'
Wapi huko bana? nishazeeka bana, miwani yangu pia haioni sasa...andika taratibu nisikie!...
Mnh, ume connect the dots mpaka umeelewa...She's my Lady, Hands Off everybody...
LOL...!!!
Halafu mkimaliza mniambie mnaongelea nini hapa.
pheewww, umeona eee? mie nilisoma jana nika 'myuti' matokeo yake nimeishia na 'nightmares'
.... eti nakimbizwa Usiku wa manane tangia Haile Selasie Rd mpaka Jolly's Club!
aaaarrrghhh...